Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
na adel salib anashangaa ni kwa nini watu wanapatwa na mshituko kufuatia kushambuliwa kwa waumini wa shia huko misri wakati kabla ya hapo polisi waliwashambulia na kuwaua wakristo wazawa wa misri:
and adel salib wonders why people are shocked that the shia are being attacked in egypt when the police previously attacked - and killed - egyptian copts:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
polisi waliwashambulia waandamanaji wasio na uraia nchini kuwait, ambao walikuwa wakidai haki za kupata nyaraka, elimu, huduma za afya, ajira na kupewa uraia.
police attacked stateless protesters in kuwait, who were demanding their rights to documents, education, healthcare, employment and naturalization.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wanachama wa kikundi cha kiislamu nchini bangladesh hifazat-e islam, waliwashambulia waandishi habari wanawake wakati walipokuwa wakifanya matembezi ya umbali mrefu katika mji mkuu dhaka kushinikiza sheria kali za kiislam , ikiwa ni pamoja na kuzuia watu wa jinsia tofauti kuchanganyikana pamoja na kupinga adhabu ya “wanablogu waliodaiwa kuonesha kutoamini uwepo wa mungu na kukashifu dini”.
members of hifazat-e islam, a radical islamist party in bangladesh, attacked female journalists on assignment as the group marched in the country's capital to demand strict islamic law, including a ban on free mixing of the sexes and punishment of "atheists and blasphemous bloggers".
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование