Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
the bloody images still proliferate, but our authors seek out constructive voices and angles for dialogue.
picha za mauaji bado zinashika kasi, lakini waandishi wetu wanatafuta sauti zinazojenga na mitazamo inayofaa kwa majadiliano.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
they still don't get it that the most important culture is the culture of constructive criticism and free expression.
bado hawajui kwamba utamaduni wa muhimu zaidi ni ule ulio wa kufanya ukosoaji wa kujenga na kuruhusu fikra huru.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
an online petition has been launched, with 3,451 supporters so far, that asks the turkish government to engage in constructive dialogue with the prisoners.
hati ya mtandaoni ya kupinga kitendo hicho imezinduliwa, ina wafuasi 3451 hadi sasa, inayoitaka serikali ya kituruki kushiriki katika mijadala inayojenga na wafungwa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
as advocates for freedom of expression in vietnam and victims of human rights violations because of our activism, we view vietnam's candidacy for the human rights council as a platform for constructive human rights discussions in our country.
kama watetezi wa uhuru wa kujieleza nchini vietnam na wahanga wa ukiukwaji wa haki za binadamu kwa sababu ya harakati zetu, sisi twaona mgombea vietnam kwa baraza la haki za binadamu kama jukwaa kwa ajili ya majadiliano ya kujenga haki za binadamu katika nchi yetu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
at tallawah, jamaican journalist tyrone s. reid posts reviews and articles covering books, music, art, and film, in an effort to "help facilitate constructive discussion."
kwenye tallawah, makala za mwandishi wa habari wa kijamaika tyrone s. reid huwa juu ya mapitio na makala za vitabu, muziki, sanaa na filamu, huku akiwa na lengo la "kushajiisha uwepo wa mijadala inayojenga."
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование