Вы искали: isolated (Английский - Суахили)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

English

Swahili

Информация

English

isolated

Swahili

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Английский

Суахили

Информация

Английский

the east: an isolated region and home to the little prince

Суахили

magharibi: eneo lililotengwa na mahali palipo na mtoto mdogo wa mfalme

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

in many ways those who live outside the capital feel isolated and ignored.

Суахили

kwa namna mbalimbali wale walioko nje ya mji mkuu hujisia wapweke na kutotiliwa maanani.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

for example, antibodies isolated from a recovered patient neutralized mers-cov.

Суахили

kwa mfano, antibodi zilizotolewa kwa mgonjwa aliyepona ziliangamiza mers-cov.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

and now, in the case of ebola, guinée has become completely isolated on the international stage.

Суахили

na sasa, kwa suala la ebola, guinea imebaguliwa kabisa katika jukwaa la kimataifa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

josé Ángel lópez barrios of bienvenidos! describes the isolated community where the incident took place:

Суахили

sehemu ya ardhi hii iko kwenye ardhi ya kurithi ya mababu wa jamii za wenyeji, kama vile guaraní.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

hcov-nl63 was isolated from a 7-month-old child from the netherlands during late 2004.

Суахили

virusi vya hcov-nl63 vilitolewa kutoka kwa mtoto wa umri wa miezi -7 nchini uholanzi mwishoni mwa 2004.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

later in 1967, hcov-oc43 was isolated from organ culture and subsequent serial passage in brains of suckling mice.

Суахили

baadaye katika mwaka wa 1967, virusi vya hcov-oc43 vilitolewa kutoka kwa ukuzaji wa kiungo na upandikishaji katika bongo za panya walionyonyesha.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

a 29-nucleotide deletion characteristic of sars-covs has been found in strains isolated at the beginning of the human epidemic.

Суахили

sifa ya ufutaji wa nukleotidi 29 ya sars-cov imepatikana katika sampuli zilizotengwa mwanzoni mwa janga la binadamu.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

create communities to ensure regular human interactions, enable social caring measures, and address possible psychosocial challenges that students may face when they are isolated.

Суахили

unda jamii kuhakikisha kutangamana kwa watu mara kwa mara, wezesha hatua za huduma za kijamii, na tatua changamoto zozote za kisaikolojia zinazowezekana ambazo wanafunzi huweza kupata wanapotengwa.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

i discovered them in 2008, and it was a great discovery because until then i was isolated, and finding this community suddenly made me want to sketch more and better.

Суахили

niliwagundua mwaka 2008, na huo ulikuwa ni ugunduzi mkuu kwa sababu mpaka wakati huo nilikuwa mkiwa nikifanya kazi peke yangu, kwa hivyo kuipata jumuiya hii ghafla kulinifanya nitake kuchora zaidi na kwa ubora zaidi.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

in an open letter to prime minister malgache kolo roger, lcdmf stressed the importance of treating this problem, especially in isolated regions without modern health facilities:

Суахили

katika barua ya wazi aliyoandikiwa waziri mkuu, malgache kolo roger, asasi ya lcdmf ilisisitiza umuhimu wa kukabiliana na tatizo hili na hususani katika maeneo yaliyosahaulika na yasiyo na mifumo ya kisasa ya utoaji wa huduma ya afya:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

mers-cov was first isolated in 2012 from the lung of a 60-year-old patient who developed acute pneumonia and renal failure in saudi arabia.

Суахили

virusi vya mers-cov vilitolewa kwa mara ya kwanza katika mwaka wa 2012 kutoka kwa mgonjwa wa mapafu wa umri wa miaka 60 ambaye alipata ugonjwa wa nimonia kali na kufeli kwa njia ya kupitisha mkojo nchini saudi arabia.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

naschla aburman, president of feuc, labeled these disturbances as "isolated incidents" and stated that there are things that are outside of the responsibility of the organizers.

Суахили

naschla aburman, rais wa feuc, aliviita vitendo hivyo vya usumbufu kama "matukio machache" na kusema kwamba vitendo hivyo havikuwa wajibu wa waandaaji.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Английский

live mers-cov identical to the virus found in humans was isolated from the nasal swabs of dromedary camels, further indicating that camels serve as the bona fide reservoir host of mers-cov.

Суахили

virusi hai vya mers-cov vinavyofanana na virusi vinavyopatikana katika binadamu vilitolewa kutoka kwa sampuli za puani kutoka kwa ngamia warefu zaidi, na kuashiria zaidi kwamba ngamia wanaweza kutumika kama wabebaji wahifadhi wa kweli wa virusi vya mers-cov.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Английский

just like the tree of ténéré (which was for a long time the most isolated tree in the world, until it was destroyed by a negligent driver), east niger is partially isolated from the rest of the country.

Суахили

kama ilivyo kwa mti wa ténéré (ambao kwa muda mrefu umekuwa mti uliojitenga kuliko mwingine wowote ule duniani, ambao kipindi fulani uliharibiwa na dereva ambaye hakuwa makini), niger ya magharibi kwa kiasi fulani imetengwa ukilinganisha na sehemu nyingine yoyote ya nchi hii.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Английский

according to pubmed (https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/), in less than two months, over 200 papers have been published on covid-19 including its virology, epidemiology, etiology, diagnosis, and treatment since the first report on january 7, 2020 that determined the sequence of the virus isolated from multiple patients.

Суахили

kulingana na pubmed (https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pubmed/), katika muda wa chini ya miezi miwili, zaidi ya makala 200 yamechapishwa kuhusu covid-19 ikiwa ni pamoja na vairolojia, epidemiolojia, etiolojia, uchunguzi na matibabu tangu ripoti ya kwanza tarehe 7 januari, 2020 iliyobaini mfululizo wa utengani wa virusi kutoka kwa wagonjwa wengi.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,790,798,874 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK