Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kinyume cha neno hema
the opposite of the word tent
Последнее обновление: 2022-08-10
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hema kwenye bustani ya linaungua sasa hivi.
a tent in is burning right now.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
vilevile mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada.
moreover he sprinkled with blood both the tabernacle, and all the vessels of the ministry.
Последнее обновление: 2024-05-05
Частота использования: 2
Качество:
Источник:
nyuma ya pazia la pili, kulikuwa na hema iliyoitwa mahali patakatifu kupita pote.
and after the second veil, the tabernacle which is called the holiest of all;
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
sisi tunayo madhabahu ambayo wale wanaotumikia bado katika hema la wayahudi, hawana haki ya kula vitu vyake.
we have an altar, whereof they have no right to eat which serve the tabernacle.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kutokana na taratibu hizo roho mtakatifu anafundisha wazi kwamba wakati ile hema ya nje ingali ipo imesimama, njia ya kuingia mahali patakatifu haijafunguliwa.
the holy ghost this signifying, that the way into the holiest of all was not yet made manifest, while as the first tabernacle was yet standing:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
yeye hutoa huduma ya kuhani mkuu katika mahali patakatifu sana, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na bwana, siyo na binadamu.
a minister of the sanctuary, and of the true tabernacle, which the lord pitched, and not man.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na mungu. aliishi huko katika hema kama walivyoishi isaka na yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.
by faith he sojourned in the land of promise, as in a strange country, dwelling in tabernacles with isaac and jacob, the heirs with him of the same promise:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lakini kristo amekwisha fika, akiwa kuhani mkuu wa mambo yaliyo mema, ambayo sasa yamekwisha fika. yeye anatoa huduma zake katika hema iliyo bora na kamilifu zaidi, isiyofanywa kwa mikono ya watu, yaani isiyo ya ulimwengu huu ulioumbwa.
but christ being come an high priest of good things to come, by a greater and more perfect tabernacle, not made with hands, that is to say, not of this building;
Последнее обновление: 2023-07-13
Частота использования: 5
Качество:
Источник: