Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kutokwa na maji
bleeding with the wind
Последнее обновление: 2022-05-10
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kutokwa na damu puani
nose bleeding
Последнее обновление: 2023-01-23
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
basi, wakapanda mashuani, na upepo ukatulia.
and when they were come into the ship, the wind ceased.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
wanapooana, wananenepeana, na upepo hauwezi kuwapepesua tena
when they get married, they become fat, and the wind can't take them away anymore
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hata hivyo nafasi hiyo inaonekana kuwa imepeperushwa na upepo.
yet this opportunity seems to have been thrown away.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
nishati hiyo inaongeza uwezo wa kuwekeza kwenye nishati nyuklia, jua na upepo.
increasing investment in nuclear, solar and wind power.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
nazo nyota za mbingu zikaanguka juu ya ardhi kama matunda ya mtini yasiyokomaa yaangukavyo wakati mti wake unapotikiswa na upepo mkali.
and the stars of heaven fell unto the earth, even as a fig tree casteth her untimely figs, when she is shaken of a mighty wind.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hayo ni kama maji tunayo yateremsha kutoka mbinguni, yakachanganyika na mimea ya ardhi, kisha hiyo mimea ikawa vibuwa vinavyo peperushwa na upepo.
it is like the vegetation of the earth that thrives when watered by the rain, which we send down from the sky, and then it all becomes stubble which the wind blows away.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
meli nazo pia, ingawa ni kubwa sana, na husukumwa na upepo mkali, huweza kugeuzwa kwa usukani mdogo sana, zikaelekea kokote nahodha anakotaka.
behold also the ships, which though they be so great, and are driven of fierce winds, yet are they turned about with a very small helm, whithersoever the governor listeth.
Последнее обновление: 2014-05-31
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
na wapigie mfano wa maisha ya dunia. hayo ni kama maji tunayo yateremsha kutoka mbinguni, yakachanganyika na mimea ya ardhi, kisha hiyo mimea ikawa vibuwa vinavyo peperushwa na upepo.
(muhammad), tell them, "the worldly life resembles the (seasonal) plants that blossom by the help of the water which god sends from the sky. after a short time all of them fade away and the winds scatter them (and turns them into dust).
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
hayo ni kama maji tunayo yateremsha kutoka mbinguni, yakachanganyika na mimea ya ardhi, kisha hiyo mimea ikawa vibuwa vinavyo peperushwa na upepo. na mwenyezi mungu ni mwenye uweza juu ya kila kitu.
and relate to them the example of the life of this world – like water which we sent down from the sky, therefore vegetation of the earth grew forth in abundance with it to become dry hay which the winds scatter; and allah is the controller of all things.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
wale wanamaji waliuvuta mtumbwi ndani, kisha wakaizungushia meli kamba na kuifunga kwa nguvu. waliogopa kwamba wangeweza kukwama kwenye ufuko wa bahari, pwani ya libya. kwa hiyo walishusha matanga na kuiacha meli ikokotwe na upepo.
which when they had taken up, they used helps, undergirding the ship; and, fearing lest they should fall into the quicksands, strake sail, and so were driven.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hazem barakat aliandaa waraka wa tukio hili la kinyama, aliweka picha za watu walioonekana kutokwa na damu nyingi pamoja na kuweka video inayoonesha shambulio hili (warning: graphic video) mtandaoni.
hazem barakat documented the crime, sharing bloodied photographs and a video of the attack (warning: graphic video) online.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hapo wajumbe wa yohane walipokwisha kwenda zao, yesu alianza kuyaambia makundi ya watu juu ya yohane: "mlikwenda kule jangwani, hivi mlitaka kuona kitu gani? mlitaka kuona unyasi unaotikiswa na upepo?
and when the messengers of john were departed, he began to speak unto the people concerning john, what went ye out into the wilderness for to see? a reed shaken with the wind?
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
basi, hao wajumbe wa yohane walipokuwa wanakwenda zao, yesu alianza kuyaambia makundi ya watu habari za yohane: "mlikwenda kutazama nini kule jangwani? je, mlitaka kuona mwanzi unaotikiswa na upepo?
and as they departed, jesus began to say unto the multitudes concerning john, what went ye out into the wilderness to see? a reed shaken with the wind?
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование