Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
maana ya neno mbeleni
the meaning of the word forward
Последнее обновление: 2021-03-17
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
huko mbeleni, ninataka kusoma siasa na kuwa mbunge wa eneo letu.
in future, i want to study politics and become a member of parliament for my area.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
baada ya wajerumani kuungana tena, watu na jamii zilizianza kupanga maisha ya mbeleni.
after reuniting the people of german, individuals and communities started to plan for its future.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mbeleni ninatarajia kutoa zana tumizi zaidi na kuendelea kujifunza zaidi fani ya sayansi ya kompyuta chuoni.
in future i hope to release many more apps and continue to study computer science at (the) university.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
katika matukio ya hapo mbeleni zilizoripotiwa desemba 2019, theluthi mbili zilipatikana kuwa na uhusiano na soko hilo.
of the early cluster of cases reported in december 2019, two-thirds were found to have a link with the market.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
woga wa kupoteza kura za wapiga kura wahafidhina kwa siku za mbeleni, inaonekana kwamba wanasiasa wa mrengo wa kushoto waliona ni bora kubaki kimya.
fearing to lose the future votes of the conservative electorate, it seems that leftist politicians have preferred to remain silent.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kama malipo yaliyobaki yataendelea kuminywa zaidi huko mbeleni, itakuwa vigumu kwa yeyote anayefikiri kujiunga na uandishi/uanaharakati wa kiraia.
if the balance is tilted further in the future, it will make it harder for any one considering citizen journalism/activism.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
tunapotafakari siku za mbeleni, (chai) anaweza kuchagua nchi yenye mfumo wa haki, usawa na unaoeleweka kwa ajili ya mwanae.
when thinking about the future, she has the ability to select a country with a more fair, equal and sound system for his child.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
antonio aponte, wa blogu ya un grano de maíz , anawapongeza wafuasi wenzake wa chávez kwa ushindi huo, lakini vile vile anatazama changamoto za mbeleni zinazoyakabili mapinduzi ya venezuela.
antonio aponte, from the blog un grano de maíz , congratulates fellow chávez supporters for the victory, but also looks at future challenges for the bolivarian revolution.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
"filamu hiyo ya kigeni kutoka barani afrika ina kazi ngumu mbeleni kwa maana ya kupata watazamaji," mtayarishaji wa filamu mehret mandefro anakiri.
"a foreign-language film from africa has a tough road ahead for it in terms getting to an audience," filmmaker mehret mandefro admits.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
zilikuwepo twiti za upande wa wale wanaomwunga mkono rais, ambazo zilionyesha furaha na kuridhika, wakati wale waliokuwa wanamwunga mkono hanrique capriles walionyesha hisia zao za kusikitishwa na matokeo hayo wakati huo huo wakiwa na matumaini kwamba mambo yanaweza kubadilika kwa siku za mbeleni.
from the side that supports the president, tweets express joy and satisfaction, while those who support henrique capriles share mixed feelings of disappointment with deep convictions that changes are possible in the future.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
chanzo: serekali ya shirikisho ya marekani (kwa matumizi ya umma) lakini m-somali mmoja alikuwa na hoja kuwa katiba mpya inaweza kuboreshwa mbeleni.
source: u.s. federal government (public domain but one somali argue that the new constitution can be improved in the future.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: