Вы искали: mgomo wa madereva (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

mgomo wa madereva

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

mgomo wa wafanyabiashra kasulu

Английский

strike

Последнее обновление: 2021-09-01
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

wakati amekamatwa, alifanya mgomo wa kula.

Английский

in detention, she started a hunger strike.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mgomo wa nchi nzima wamshitua rais wa malawi

Английский

nationwide strike delivers blow to malawi's president · global voices

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mgomo huu wa sasa unafuatia mgomo wa madaktari uliofanyika mapema mwaka huu.

Английский

this current strike follows a strike earlier this year by doctors.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

chile: mahabusu wa mapuche wamaliza mgomo wa kutokula uliodumu kwa siku 60

Английский

chile: mapuche prisoners end hunger strike after 60 days · global voices

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mpaka majuma machache yaliyopita, maryam al khawajah na alaa abd el fattah walikuwa kwenye mgomo wa njaa gerezani.

Английский

up until a few weeks ago, maryam al khawajah and alaa abd el fattah were on hunger strike and in jail.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kabla ya kuondolewa kwa kesi mahakamani , wana blogu walikuwa wanapanga kuanzisha mgomo wa kutonunua bidhaa za shirika la sony.

Английский

before the withdrawal of the case, bloggers were planning to launch a boycott campaign against sony corp. yari nk is happy with the decision of the firm to drop the case it is wise for sony corp. to drop the claim since it does not make sense in almost any way that one has to stop using his own name for his personal non-commercial site.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mwaka jana alishiriki katika mgomo wa kula uliodumu kwa muda wa siku 56 akiwa na wanafunzi wengine wanne wakidai haki ya kurejeshwa shuleni.

Английский

he was involved last year in a 56-day hunger strike with another four students demanding their right to go back to school.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

maelfu ya wafungwa wa kisiasa kikurdi wamekuwa katika mgomo wa kutokula nchini uturuki tangu septemba 12 na jumuiya ya kimataifa bado iko kimya.

Английский

thousands of kurdish political prisoners have been on hunger strike in turkey since sept 12 and the international community remains silent.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

chombo cha habari cha al jazeera ndicho cha pekee kilichokubalika kama chombo cha kikuu cha habari cha kimataifa kilicho onyesha kiwango cha mgomo wa kutokula.

Английский

al jazeera’s the stream has been the only internationally acknowledged mainstream outlet that has highlighted the gravity of the hunger strike.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

maryam kwa sasa yuko copenhagen, hana nafasi ya kumwona baba yake, ni mwanaharakati wa bahrain aliyekuwa kifungoni akiongoza mgomo wa kula mara mbili tangu mwaka 2011.

Английский

maryam is currently in copenhagen, unable to see her father, a leading bahrain activist who has been behind bars and on hunger strike twice since 2011.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

@ajstream: kwa nini serikali na vyombo vya habari nchini uturuki wanapuuza mgomo wa kutokula unaofanywa na wafungwa wa kisiasa wa kikurdi 715?

Английский

@ajstream: why has the government and media in turkey ignored the hunger strikes of 715 kurdish political prisoners?

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

@dirman95: ni vigumu kula ukijua kwamba mgomo wa kutokula umekuwa ukiendelea kwa zaidi ya siku 51 na dunia haifanyi lolote kuhusu hilo ... inakera.

Английский

@dirman95: it is so hard to eat knowing that the hunger strike has been going on for over 51 days and the world is doing nothing about it… disgusting.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

dada yake mdogo mwenye umri wa miaka 20 bado anaendelea na mgomo wake wa kula unaoingia siku ya 47 akiwa gerezani. nbsp; mamia wa wafungwa wa kisiasa wanaendelea na mgomo wa kula nchini misri na bahrain.

Английский

his 20-year-old younger sister is on her 47th day of hunger strike behind bars. hundreds of political prisoners are currently on hunger strike in egypt and bahrain.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

akiwa kijana na mwenye nguvu, khusta aliandaa mgomo wa kiuchumi dhidi ya biashara zinazomilikiwa na makaburu kushinikiza madai ya watu weusi ya kuheshimiwa -kuheshimiwa utu wao na serikali ya makuburu wa afrika kusini.

Английский

young and energetic, khusta led an economic boycott of downtown white-owned businesses in port elizabeth to leverage black people’s demands for better treatment -humane treatment by the apartheid government of south africa.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

rais wa malawi ametupilia mbali mashinikizo ya kumtaka ajiuzulu mara baada ya mamia ya maelfu ya wafanyakazi wa umma wanaoshinikiza mishahara yao iongezwe, kuingia katika mgomo wa majuma mawili, kufunga uwanja wa ndege wa kimataifa nchini humo pamoja na kuzorotesha huduma za hospitalini na mashuleni.

Английский

malawi's president is beating back calls for her to resign after hundreds of thousands of civil servants demanding a wage increase went on a two-week long strike, shuttering the country's international airport and paralyzing hospitals and schools.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

joseph hanlon, mchambuzi wa muda mrefu wa masuala ya msumbiji, mwanahabari na profesa katika chuo kikuu cha wazi, ametoa sehemu nzima katika tovuti yake kuorodhesha “mgomo wa wafadhili” wa 2010.

Английский

joseph hanlon, long-time mozambique analyst, journalist and professor at open university, offers up a full section on his website documenting the "donor strike" of 2010.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

baada ya uongozi mpya wa qatari kutangaza kuwa wafanyakazi 250 watapunguzwa kazi katika mtandao wa habari unaosomwa sana wa islamonline (iol), mamia ya wafanyakazi, wahariri, na waandishi wa habari walianza mgomo wa kuonyesha hasira yao.

Английский

after the new qatari administration announced that 250 employees in the widely read islamonline news website (iol) would be laid off, hundreds of employees, editors, and journalists started an angry sit-in.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

baada ya mgomo wa madaktari uliodumu kwa takribani juma moja nchini msumbuji, dr. jorge arroz, rais wa associação médica de moçambique, amekamatwa usiku wa jumapili, mei 26, 2013, kwa tuhuma za "uchochezi" (kuhamasisha watu kutokuridhishwa au kuiasi serikali).

Английский

after a week-long strike by medical professionals in mozambique, dr. jorge arroz, the president of associação médica de moçambique, was arrested on sunday night, may 26, 2013, under accusation of "sedition" (incitement of discontent or rebellion against a government).

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,799,834,979 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK