Вы искали: wanayoishi (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

wanayoishi

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

utaratibu huu ulimpa edom taswira ya hali halisi ya maisha wanayoishi wanahabari hawa wakiwa gerezani.

Английский

this gave edom a glimpse of what these journalists’ lives looked like in prison.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mwaka 2013, mwanablogu mashuhuri na mwandishi wa habari wa zamani alianzisha kampeni ya mtandaoni ya kuwataka watumiaji wa mtandao kupiga picha za uchafuzi wa mito katika maeneo wanayoishi.

Английский

in 2013, a prominent blogger and former journalist initiated an online campaign calling for netizens to snap photos of polluted rivers in their hometown.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

wakati huo huo, maafisa wa serikali walitengeneza kwa haraka ukuta wa kijani pembezoni mwa barabara ambazo msafara wa papa francis ungepita, kwa lengo la kumzuia papa na watu wengine waliokuwa kwenye msafara huo kuo mitaa wanayoishi maskini pembezoni mwa kizuizi.

Английский

meanwhile, officials erected a green wall along the pope's motorcade route, preventing him and other motorists from seeing the urban poor who live beyond the barrier.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mashirika mawili tofauti katika israel na majimbo ya palestina yanatumia zana za video ili kuwasaidia wote, vijana wa kiyahudi na wakiarabu kuuelewa mgogoro na kutengeneza daraja kati yao, kwa kutengeneza nafasi ya kukutana na kuwasiliana ambamo wanaweza wakaeleza ndoto zao, yanayowagusa na mawazo yao kuhusu hali tata wanayoishi.

Английский

two different organizations in israel and the occupied palestinian territories are using video tools to help both arabic and jewish youth to understand the conflict and bridge gaps between them, creating spaces for interaction and communication where they can share their dreams, concerns and thoughts regarding the complex situation they live in.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

dai la kuwanyang’anya ardhi linakuja kutoka kwa jeshi la brazil, ambalo linakusudia kuongeza makazi kwa maafisa wake katika eneo hilo, mpakani mwa eneo la salvado na simoes filho, katika jimbo la bahia… uzao wa watu wa asili ya afrika ambao wakati wa ukoloni, walichukuliwa kutoka kwenye nchi yao kuwa watumwa nchini brazil, wa-quilmbola sasa wanajiona kwenye tishio jingine la kupoteza nyumba zao, pamoja na haki waliyonayo ya kumiliki ardhi wanayoishi inayolindwa na katiba ya nchi.

Английский

the claim for the land comes from the navy of brazil, that intends to broaden a condo for its officers in that territory, in the border area between salvador and simões filho, state of bahia... descendants of original peoples from africa who, during colonialism, were taken from their land to become slaves in brazil, the quilombolas now see themselves under threat of losing their homes again, despite their right to the land they inhabit enshrined in the constitution.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,780,333,889 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK