Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
عضد اسرائيل فتاه ليذكر رحمة.
amemsaidia israeli mtumishi wake, akikumbuka huruma yake.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
فقام واخذ الصبي وامه وجاء الى ارض اسرائيل.
basi, yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea katika nchi ya israeli.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
نور اعلان للامم ومجدا لشعبك اسرائيل.
mwanga utakaowaangazia watu wa mataifa, na utukufu kwa watu wako israeli."
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
اجاب يسوع وقال له انت معلّم اسرائيل ولست تعلم هذا.
yesu akamjibu, "je, wewe ni mwalimu katika israel na huyajui mambo haya?
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
فاجاب وقال لم أرسل الا الى خراف بيت اسرائيل الضالة.
yesu akajibu, "sikutumwa ila kwa watu wa israeli waliopotea kama kondoo."
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
ولكن اسرائيل وهو يسعى في اثر ناموس البر لم يدرك ناموس البر.
hali watu wa israeli waliokuwa wakitafuta sheria iletayo kukubaliwa kuwa waadilifu, hawakuipata.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
اجاب نثنائيل وقال له يا معلّم انت ابن الله. انت ملك اسرائيل.
hapo nathanieli akamwambia, "mwalimu, wewe ni mwana wa mungu. wewe ni mfalme wa israeli!"
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
بالايمان يوسف عند موته ذكر خروج بني اسرائيل واوصى من جهة عظامه.
kwa imani yosefu alipokuwa karibu kufa, alinena juu ya kutoka kwa waisraeli katika nchi ya misri, na pia akawaachia maagizo kuhusu mifupa yake.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
اما من جهة اسرائيل فيقول طول النهار بسطت يديّ الى شعب معاند ومقاوم
lakini kuhusu israeli anasema: "mchana kutwa niliwanyoshea mikono yangu watu waasi na wasiotii."
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
فكل الذين يسلكون بحسب هذا القانون عليهم سلام ورحمة وعلى اسرائيل الله.
wanaoufuata mwongozo huo nawatakia amani na huruma; amani na huruma kwa israeli--wateule wa mungu.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
فاجابه يسوع ان اول كل الوصايا هي اسمع يا اسرائيل. الرب الهنا رب واحد.
yesu akamjibu, "ya kwanza ndiyo hii: sikiliza, israeli! bwana mungu wetu ndiye peke yake bwana.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
انظروا اسرائيل حسب الجسد. أليس الذين يأكلون الذبائح هم شركاء المذبح.
chukueni, kwa mfano, wayahudi wenyewe: kwao, wenye kula vilivyotambikiwa madhabahuni waliungana na hiyo madhabahu.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
لينزل الآن المسيح ملك اسرائيل عن الصليب لنرى ونؤمن. واللذان صلبا معه كانا يعيّرانه
eti yeye ni kristo, mfalme wa israeli! basi, na ashuke msalabani ili tuone na kuamini." hata watu wale waliosulubiwa pamoja naye walimtukana.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
الكلمة التي ارسلها الى بني اسرائيل يبشر بالسلام بيسوع المسيح. هذا هو رب الكل.
huu ndio ule ujumbe mungu alioupeleka kwa watu wa israeli, akitangaza habari njema iletayo amani kwa njia ya yesu kristo ambaye ni bwana wa wote.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
فأخذوا سعوف النخل وخرجوا للقائه وكانوا يصرخون أوصنّا مبارك الآتي باسم الرب ملك اسرائيل.
basi, wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki; wakapaaza sauti wakisema: "hosana! abarikiwe huyo ajaye kwa jina la bwana. abarikiwe mfalme wa israeli."
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
حتى تعجب الجموع اذ رأوا الخرس يتكلمون والشل يصحّون والعرج يمشون والعمي يبصرون. ومجدوا اله اسرائيل
umati ule wa watu ulishangaa sana ulipoona bubu wakiongea, waliokuwa wamelemaa wamepona, viwete wakitembea na vipofu wakiona; wakamsifu mungu wa israeli.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
انكم كنتم في ذلك الوقت بدون مسيح اجنبيين عن رعوية اسرائيل وغرباء عن عهود الموعد لا رجاء لكم وبلا اله في العالم.
wakati ule ninyi mlikuwa bila kristo; mlikuwa nje ya jamii ya israeli; mlikuwa wageni na hamkuwa na sehemu yoyote katika lile agano la zile ahadi. mlikuwa bila matumaini mungu hapa duniani.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
وكان لها سور عظيم وعال وكان لها اثنا عشر بابا وعلى الابواب اثنا عشر ملاكا واسماء مكتوبة هي اسماء اسباط بني اسرائيل الاثني عشر.
ulikuwa na ukuta mrefu na mkubwa, wenye milango kumi na miwili, na malaika wanangojea kumi na wawili. majina ya wangoja milango kumi na mawili ya israeli yalikuwa yameandikwa juu ya milango hiyo.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
وبالحق اقول لكم ان ارامل كثيرة كنّ في اسرائيل في ايام ايليا حين أغلقت السماء مدة ثلاث سنين وستة اشهر لما كان جوع عظيم في الارض كلها.
lakini, sikilizeni! kweli kulikuwa na wajane wengi katika nchi ya israeli nyakati za eliya. wakati huo mvua iliacha kunyesha kwa muda wa miaka mitatu na nusu; kukawa na njaa kubwa katika nchi yote.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
فليكن معلوما عند جميعكم وجميع شعب اسرائيل انه باسم يسوع المسيح الناصري الذي صلبتموه انتم الذي اقامه الله من الاموات. بذاك وقف هذا امامكم صحيحا.
basi, ninyi na watu wote wa israeli mnapaswa kujua kwamba mtu huyu anasimama mbele yenu leo, mzima kabisa, kwa nguvu ya jina lake yesu wa nazareti ambaye ninyi mlimsulubisha, lakini mungu akamfufua kutoka wafu.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: