Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
The authorities already projected the construction of the train station 80 years ago but the project never took off.
Mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa kituo cha treni miaka 80 iliyopita lakini mradi kamwe haukuanzishwa.
About 80% of infections result in mild symptoms, while the remaining may result in hospitalization.
Karibu asilimia 80 ya maambuzi inasababisha dalili kidogo, huku iliyosalia inaweza kusababishwa kulazwa hospitalini.
The reservoir that collects the water from the glacier provides 80% of the drinking water to the city of El Alto and the outskirts of La Paz.
Tenki la kuhifadhia maji yanayotoka kwenye barafu iliyoko kwenye mlima huo hutoa kiasi cha 80% cha maji ya kunywa kwa jiji la El Alto na vitongoji vyake vya La Paz.
Up until July 2012, our dedicated team of about 80 volunteers produced over 80 posts in English, many them translated in various languages.
Hadi kufikia mwezi Julai 2012, timu ya watu wetu wanaojitolea wapatao 80 waliandika zaidi ya makala 80 katika lugha ya Kiingereza, makala hizo pia zilitafsiriwa katika lugha nyingi mbalimbali.
It's exactly two years since over 80 people died in bomb blasts at Kyaddondo Rugby Club and Ethiopian Village bar, Uganda.
Ni miaka miwili sasa tangu jumla ya watu 80 kupoteza maisha katika mililipuko ya mabomu katika klubu ya mcheo wa Rugby huko Kyaddondo na katika baa ya Kijiji cha ki-Ethipoia nchini Uganda.
Rwanda remains deeply scarred by the 1994 genocide of 800,000 to 1 million people, including 80 percent of the Tutsi population as well as many Hutus.
Rwanda bado inauguza makovu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 yaliyoteketeza maisha ya watu kati ya 800,000 na milioni moja, ikiwa ni asilimia 80 ya idadi ya watu wa kabila la Watutsi ikiwa ni pamoja na Wahutu wengi.
In the epicentre of the outbreak in Italy, Castiglione d'Adda, a small village of 4600, 80 (1.7%) are already dead.
Katika kitovu cha mlipuko huko Italia, Castiglione d'Adda, kijiji kidogo cha watu 4600, 80 (asilimia 1.7) tayari wamekufa.
Some doctors prefer staying with invasive mechanical ventilation when available because this technique limits the spread of aerosol particles compared to a high flow nasal cannula.Severe cases are most common in older adults (those older than 60 years, and especially those older than 80 years).
Baadhi ya madaktari hupendelea kutumia mitambo ya kuingiza hewa inapopatikana kwa sababu mbinu hii hupunguza chembe za uoevu ikilinganishwa na kifaa cha kuingiza hewa kwa kiwango cha juu. Matukio kali ni ya kawaida kwa wazee (wale zaidi ya umri wa miaka 60, na haswa wale zaidi ya umri wa miaka 80).
Evidence to date is that ca 80% of individuals with COVID-19 have a mild disease, i.e. a respiratory tract infection with or without pneumonia, and most of these recover.
Ushahidi uliopo hadi sasa ni kwamba 80% ya watu walio na COVID-19 wana hali ya wastani ya ugonjwa, yaani maambukizi ya njia ya pumu au bila nimonia na wengi wao walipona.
However, 80% of them required ventilation support, much more than COVID-19 patients and consistent with the higher lethality of MERS than of COVID-19.
Hata hivyo, 80% yao walihitaji mashine za kusaidia kupumua, kuliko wagonjwa wa COVID-19 na hii inaoana na hali ya ukali wa MERS kuliko COVID-19.
However, only N95 (series # 1860s) masks can protect against the inhalation of virions as small as 10 to 80 nm, with only 5% of the virions being able to penetrate completely; SARS-CoV-2 is similar to SARS-CoV in size and both are approximately 85 nm.
Hata hivyo, barakoa za N95 pekee (matoleo ya # 1860) zinaweza kulinda dhidi ya kupumua ndani viini vidogo hata kwa vipimo vya 10 hadi 80 nm, huku 5% ya viini hivyo vikiweza kupenyeza kikamilifu; SARS-CoV-2 ni sawa na SARS-CoV kwa ukubwa na ni takriban 85 nm.
In China, as of 5 February about 80% of deaths were in those over 60, and 75% had pre-existing health conditions including cardiovascular diseases and diabetes.Official tallies of deaths from the COVID-19 pandemic generally refer to dead people who tested positive for COVID according to official protocols.
Katika Uchina, kufikia 5 Februari kadri 80% ya vifo zilikuwa kwa wale walio na umri zaidi ya 60, na 75% walikuwa na hali za kiafya hapo awali pamoja na magonjwa ya moyo na mishipa na kisukari.Takwimu rasmi ya vifo kutokana na janga kubwa la COVID-19 kwa ujumla humaanisha watu waliofariki ambao walipimwa na kuwa chanya kwa COVID kulingana na itifaki rasmi.
Italy's La Stampa newspaper cited an anonymous "high-level political source" that 80 percent of Russia's aid was "useless or of little use to Italy".
Gazeti la Italia ya La Stampa ilinukuu taarifa na mtu asiyetambulika "katika nyanja za juu ya kisiasa" kuwa asilimia 80 ya msaada wa Urusi "haikuwa ya kufaa au kwa manufaa chache kwa Italia".