Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mampi mukape rejected by her own people and zambian women were in forefront of decampaigning her.
mampi mukape alikataliwa na watu wake mwenyewe na wanawake wa zambia walikuwa mstari wa mbele katika kumpiga vita.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
it would be out of place to allow the npp that has been rejected by ghanaians to tell us what we should do.
itakuwa ni jambo la ajabu kuiruhusu npp ambayo imekataliwa na waghana kutuambia kile tunachopaswa kufanya.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
@egypresidency: pres. morsy: armed forces announcement is rejected by all free men who struggled for a civil democratic egypt.
@egypresidency: rais morsy: tangazo la jeshi linakataliwa na watu wote walio huru waliojitahidi kuleta demokrasia ya kiraia nchini misri.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
@egypresidency: pres. morsy: measures announced by armed forces leadership represent a full coup categorically rejected by all the free men of our nation
@egypresidency: rais morsy: hatua zilizotangazwa na uongozi wa jeshi zinamaanisha mapinduzi kamili ya kijeshi yasiyokubalika na watu wote walio huru katika taifa letu
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lo! we sent upon them one shout, and they became as the dry twigs (rejected by) the builder of a cattle-fold.
hakika sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea uwa.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
another interesting aspect is that the former ruling party, the united democratic party (udf), is not fielding a presidential candiate after its leader, bakili muluzi, was rejected by the electoral commission, which has forced the party to go into an alliance with another leading positiion, the malawi congress party (mcp) which is also the oldest party in the country.
na jambo lingine linalovutia ni kwamba chama tawala cha zamani, udf hakina mgombea wa urais baada ya kiongozi wake, bakili muluzi kukataliwa na tume ya uchaguzi, ikikilazimisha kuungana na chama kingine kikubwa cha upinzani, mcp ambacho nacho ni kikongwe kuliko vyote nchini.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.