Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
the wounded reporter repeatedly displayed his press badge during the ordinal, but it did not stop them.
mwandishi huyo aliyepatwa na mkasa huo wakati wote alikuwa akionesha kitambulisho kilichokuwa kikionesha kwamba yeye ni mwandishi, lakini hilo hata halikuwasumbua polisi kuacha vitendo hivyo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
he followed the officer's instruction and backed off, but was sprayed in his face without warning; although he showed his press badge many times, he was arrested and handcuffed.
alifuata masharti ya polisi na akaacha kufanya kazi yake, lakini hata hivyo bado alimwagiwa maji ya kuwasha usoni bila kupewa onyo; ingawa alionesha kitambulisho chake wakati wote, bado alikamatwa na kupigwa pingu.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
twitter users @dolphindiluna and @aritana designed badges initially posted on the arlesophia, blog do tsavkko and maria frô blogs, inviting readers to un-subscribe to the media group.
watumiaji wa twita @dolphindiluna na @aritana walibuni beji ambazo mwanzoni zilipandishwa kwenye arlesophia, blogu za blog do tsavkko na maria frô, wakiwakaribisha wasomaji kuondoa usajili wao kutoka kwenye vyombo vya habari vya kampuni hiyo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: