Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
our detractors wanted the world to believe the opposite, that food crisis was imminent.
wapinzani wetu walitaka dunia kuamini kinyume, kwamba ukosefu wa chakula usingekwepeka.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
well, our detractors had already said that we would be stiffed with a tougher law, but this goes way beyond that.
naam, wabaya wetu wameshasema tunatakiwa kudhibitiwa kwa sheria ngumu zaidi, lakini hili linaenda mbali zaidi ya hapo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
and the reason is simple: if we point out what is wrong with it now, our detractors will use what we say to clean up the bill.
na sababu ni rahisi: kama tukionyesha nini ni kibaya hivi sasa, wabaya wetu watatumia hayo tunayoyasema ili kuuosha muswada huo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
the strategy employed is perhaps fairly simple—target a few citizens, including prominent ones and lesser-known ones, that are moderately against the pap, give them a different impression, and let them spread the news that the pap really is not what its detractors have made it out to be.
mbinu iliyotumika kwa hakina ni rahisi— imelenga raia wachache ikiwa ni pamoja na watu maarufu na wale wanaojulikana kidogo tu na kwa wastani, wale wanaokipinga chama tawala cha pap, wakiwapa mawazo tofauti na kuwaacha wakisambaza taarifa kuwa chama tawala cha pap sio kweli kuwa ndio wanaokikashifu.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: