Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
spark discussion
kuibua
Senast uppdaterad: 2023-02-10
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
focus group discussion
majadiliano mahususi ya kikundi
Senast uppdaterad: 2021-11-19
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
read part 2 of his discussion here.
soma sehemu ya pili ya hoja zake hapa.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
the administrator joined the discussion explaining his silence:
mwendeshaji aliingia kwenye majadiliano hayo na kuelezea kuhusu ukimya wake:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
adding to the same discussion, user olga shandra wrote :
akiongezea katika mjadala huo huo, olga shandra aliandika :
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
and this issue has dominated public discussion for weeks?
na suala hili limetawala mijadala kwa majuma?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
you can see the discussion here and add your thoughts in the comments.
unaweza kuona mjadala hapa na kuongeza mawazo yako kwenye kisanduku cha maoni.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
discussion on this web board is more polite than on other web boards.
majadiliano katika tovuti hii ni ya kiungwana zaidi kuliko katika tovuti nyingine yoyote.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
amira alhussaini, our mena editor, moderated the discussion along with me.
amira alhussaini, mhariri wetu wa afrika kaskazini na uarabuni, aliongoza majadiliano hayo akiwa nami.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
a spirited discussion with: sana saleem, ivan sigal and solana larsen.
majadiliano ya kina na: sana saleem, ivan sigal na solana larsen.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
editor's note: this post started a team discussion on nude art on our page.
maelezo ya mhariri: makala haya yalianzisha mjadala wa pamoja kuhusiana na sanaa ya uchi kwneye ukurasa wetu.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
many questions remain unanswered and many more opinions will fill the discussion this week in the venezuelan blogosphere.
maswali mengi yanabaki bila majibu na maoni mengine mengi yatajaza mjadala huo kwa juma hili katika ulimwengu wa blogu nchini venezuela.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
the discussion online brings to light an old and ongoing debate regarding secularism in the brazilian state.
mjadala huo mtandaoni unaurudisha tena mezani mdahalo wa siku nyingi na unaoendelea kuhusu dhana ya serikali kutokuwa na dini nchini brazili.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
in particular, such a discussion took place on the facebook page of a physician and activist evgeny komarovsky.
kulikuwepo na mjadala wa aina hii katika ukurasa wa facebook wa mwanafizikia na mwanaharakati ajulikanaye kwa jin la evgeny komarovsky.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
but i am of the view that open discussion is still required between the government and the syariah experts to deal with this issue.
lakini nina mtazamo kuwa majadiliano ya wazi bado yanatakiwa kati ya serikali na wataalamu wa syariah ili kutatua suala hili.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
as some of our nyc-based colleagues know, we have also been in discussion about leasing a location in brooklyn.
kulingana na ufahamu wa baadhi ya wenzetu walio nyc, tumekuwa pia tukijadiliana kuhusu kupangisha eneo lililo brooklyn.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
but we also see a growing online discussion about what can be done to curb corruption, promote transparency, and increase civic engagement.
lakini pia tunauona mjadala wa mtandaoni unaokua juu ya nini kinachoweza kufanywa kuzuia rushwa, kutangaza uwazi na kuongeza makabiliano ya kijamii.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
as if that has anything to do with her qualifications or with any of the factors that should be part of any discussion of oronoz' gifts and talent.
utafikiri hali yake ya kimapenzi ina maana yoyote kwa sifa zake au iwe sababu yoyote ambayo yapaswa kuwa sehemu ya mjadala wa vipaji na uwezo wa oronoz.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
bunmi oloruntoba at a bombastic element discusses the re-branding campaign in the context of a recent bbc discussion on the subject:
bunmi oloruntoba katika blogu ya a bombastic element anajadili kampeni ya kutengeneza chapa mpya katika muktadha wa mjadala wa hivi karibuni kwenye bbc juu ya suala hilo:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ivanov's rejection of telma's invitation to participate in an interview provoked a discussion among many macedonian users on twitter.
kitendo cha ivanov kugomea mwaliko wa kituo cha televisheni cha telma kushiriki kwenye mahojiano kiliibua mjadala mwingine kwenye mitandao ya kijamii hususani watumiaji wa mtandao wa twita nchini macedonia.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: