You searched for: efficiently (Engelska - Swahili)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

English

Swahili

Info

English

efficiently

Swahili

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

for example, defects in the activation of pro-inflammatory response in bats efficiently reduce the pathology triggered by covs.

Swahili

kwa mfano, hitilafu katika kukabiliana na hali ya kuchomeka ndani ya popo kulifanikisha kupunguza uwezo wa kusababisha ugonjwa kunaowezeshwa na cov.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

at the same time, new media were efficiently used by the opposition attracting the attention of international community and shifting public opinion to the side of the protesters.

Swahili

wakati huo huo vyombo vipya vya habari vilitumika kwa ufanisi mkubwa na upande wa upinzani uliokuwa unajaribu kuvuta macho ya jumuiya ya kimataifa na kugeuza mwelekeo wa maoni ya umma kwa upande wa waandamanaji.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

generally, when these hcovs acquire the abilities to transmit efficiently and to maintain themselves continuously within humans, they also become less virulent or pathogenic.

Swahili

kijumla, virusi hivi vya hcov vikishapata uwezo wa kusambaza kwa ufanisi na kuendelea kujidumisha ndani ya binadamu, pia uwezo wao wa virusi au wa kipathogenetiki unapungua.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

it is worth mentioning that this strike may be the first instance in which strikers use new media efficiently and effectively to draw all the attention needed to support their cause, from continuous twitter updates to live streaming.

Swahili

pengine ni jambo linalostahili kutajwa kwamba huenda mgomo huu ni wa kwanza wa aina yake unaotumia kwa ufanisi na vizuri zaidi njia za kisasa za upashanaji habari ili kuvuta usikivu na uungwaji mkono, kuanzia na twita inayoendelea mpaka mmiminiko wa habari wa hapo kwa hapo.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Engelska

in addition to replicating in the lower respiratory tract, sars-cov-2 can efficiently replicate in the upper respiratory tract and causes mild or no symptoms in the early phase of infection, similar to other covs that cause common colds.

Swahili

pamoja na kuzalishwa katika njia ya chini ya kupumua, sars-cov-2 inaweza kuzalishwa katika sehemu ya juu ya njia ya kupumua kwa ufanisi na kusababisha dalili za wastani au kutoonyesha dalili zozote katika awamu ya awali ya maambukizi, sawa na virusi vingine vya cov vinavyosababisha homa kali.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,763,931,187 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK