Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
certain of facing a great calamity.
zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wa mgongo.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
despite sisi's landslide win, amro ali sets a challenge:
pamoja na ushindi huo wa kishindo wa sisi, amro ali anaonyesha changamoto:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
samia al-agbhari..a yemeni writer facing a propaganda attack.
samia al-agbhari..mwandishi wa yemeni anakabiliwa na mashambulizi ya kipropaganda.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
after surviving the deadly flood last september, residents of barangay bagong silangan are facing a bigger challenge: rebuilding their homes and their lives.
baada ya kunusurika na mafuriko mabaya ya mwezi septemba, wakazi wa barangay bagong silangan wanakabiliwa na changamoto kubwa zaidi: kujenga upya nyumba zao na maisha yao.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
i think there is a challenge right now of galvanizing the people to reflect on the past fifty years.
ninadhani kuna changamoto hivi sasa ya kuwalazimisha watu watafakari yaliyofanyika kwa miaka 50.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
another writer in yemen is facing a severe attack; slandering her and accusing her of disrespecting religion.
mwandishi mwingine wa yemen anakabiliwa na mashambulizi makubwa; akikashifiwa na kutuhumiwa kutokuheshimu dini.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
with lots of flights canceled, warnings issued, and restrictions imposed, flying in the time of coronavirus can be a challenge.
ndege nyingi zikiwa zimeghairishwa, maonyo kutolewa, na vikwazo kuwekwa, kusafiri kwa ndege wakati huu wa virusi vya korona kuna changamoto.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
one of the best female writers in yemen, samia al-agbhari is facing a media propaganda attack and threatened for her brave stance.
akiwa mmoja wapo wa waandishi bora kabisa nchini yemeni, samia al-agbhari anashambuliwa mno na propaganda za vyombo vya habari na kumtishia kufuatia msimamo wake wa kishujaa.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
however, a lack of reliable water supply, soap or hand washing facilities in people's homes, at schools and at the workplace make it a challenge to achieve universal hand washing behaviors.
hata hivyo, ukosefu wa maji yanayotegemeka, vifaa vya kuosha mikono au sabuni katika nyumba za watu, shuleni na maeneo ya kazi ni changamoto katika kutimiza tabia ya ulimwengu ya kuosha mikono.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
despite facing a strong alliance of the main opposition leader and a former president, the incumbent is expected to win on the back of an economic boom. though critics accuse mutharika of rigging his way into office, he is credited with helping to improve malawi’s economy.
ingawa wapinzani wake wanamlaumu mutharika kwa kujitengenezea njia ya kuingia ikulu, anasifiwa kwa kuuboresha uchumi wa malawi.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
in his post titled "malawi: the economy, stupid?," mujo writes, "despite facing a strong alliance of the main opposition leader and a former president, the incumbent is expected to win on the back of an economic boom":
katika makala yake yenye kichwa cha habari “malawi: ni uchumi tu, mjinga we?”, mujo anaandika, “ pamoja na kukumbana na upinzani mkali wa pamoja wa kiongozi mkuu wa upinzani na rais mstaafu, mtawala huyu anatarajiwa kushinda kwa mgongo wa kuuinua uchumi”.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering