Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
in 3rd place for 325 points footballer mohamed abu-tarika.
katika nafasi ya 3 yenye pointi 325 ni mcheza soka mohamed abu-tarika.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
inevitably, the blogsphere put the two together and condemnation of such crimes became a hot topic beyond the sensationalist broadcasting of mainstream media, which has been limited to the footballer's crime.
bila shaka, uwanja wa blogu wameweka haya mawili pamoja na ulaani wa vitendo hivyo vya kihalifu umeondokea kuwa mada kuu zaidi ya yale yanayotangazwa katika vyombo vikuu vya habari, ambavyo vimejikita katika habari za uhalifu wa mchezaji huyo wa mpira wa miguu.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
on 29 august, 2012, football kenya federation (fkf) chairman sam nyamweya announced that former french footballer and coach henri michel has been appointed national team coach.
mnamo, tarehe 29, mwezi wa agosti mwaka 2012, mwenyekiti wa shirikisho la kandanda(football kenya federation-fkf), bwana sam nyamweya alitangaza kuwa mchezaji na kocha wa zamani mfaransa henri michel ameteuliwa kocha wa timu ya taifa.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
diego armando maradona (born 30 october 1960 - 2020) is the player most famous footballer of the past from the country of argentina . many people consider him the best player in the world . in 2000 at the fifa world player of the year award, maradona went hand in hand with pele's best of the century player of the year award after all of them were the first in a select election that fifa announced via the public opinion on the internet to select the 20th century player of the year . maradona played for boca juniors , fc barcelona and ssc napoli and received various prizes at both clubs
Senast uppdaterad: 2020-11-26
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: