Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
rarely do they mobilize for battle.
wala hawaingii vitani ila kidogo tu.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
prophet, mobilize the believers for the battle.
ewe nabii! wahimize waumini wende vitani.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
take your precautions, and mobilize in groups, or mobilize altogether.
chukueni hadhari yenu! na mtoke kwa vikosi au tokeni nyote pamoja!
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hospital directors tried to mobilize health professionals to work, but to no avail.
wakurugenzi wa hospitali walijaribu kuhamasisha wataalamu wa afya kufanya kazi, lakini hawakufanikiwa.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
and they swear by god with their solemn oaths, that if you commanded them, they would mobilize.
na wanaapa kwa mwenyezi mungu ukomo wa kiapo chao ya kwamba ukiwaamrisha kwa yakini watatoka.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
unless you mobilize, he will punish you most painfully, and will replace you with another people, and you will not harm him at all.
kama hamwendi atakuadhibuni adhabu chungu, na atawaleta watu wengine, wala nyinyi hamtamdhuru chochote.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
also ignoring that can make a situation for us more dangerous than bush's term because obama can mobilize political leaders and public opinion against iran.
kadhalika kupuuza kunaweza kuifanya hali izidi kuwa ya hatari zaidi ya ilivyokuwa wakati wa utawala wa bush kwa sababu obama anaweza kukusanya viongozi wa kisiasa na maoni ya wananchi dhidi ya irani.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
prioritize solutions to address psychosocial challenges before teaching: mobilize available tools to connect schools, parents, teachers, and students with each other.
tanguliza suluhisho kutatua changamoto za kisaikolojia kabla ya kufunza: tumia vifaa vinavyopatikana kuunganisha shule, wazazi, walimu, na wanafunzi na kila mmoja.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
by acting spontaneously without waiting for a go ahead word from anyone, young students demonstrated that they were capable on their own, to realize that to deal with the situation, it was necessary for them to intervene and mobilize.
kwa kutenda papo hapo bila ya kusubiri ushauri wa namna bora ya kwenda mbele kutoka kwa mtu yeyote, wanafunzi walionyesha kwamba walikuwa na uwezo wao wenyewe, kwa kutambua kwamba ili kukabiliana na hali hiyo, ilikuwa ni muhimu kwao kuingilia kati na kuhamasisha.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mobilize your (defensive) force as much as you can to frighten the enemies of god and your own enemies. this also will frighten those who are behind them whom you do not know but god knows well.
basi waandalieni nguvu kama muwezavyo, na kwa farasi walio fungwa tayari-tayari, ili kuwatishia maadui wa mwenyezi mungu na maadui zenu, na wengineo ambao hamwajui, lakini mwenyezi mungu anawajua.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
a ugandan man at another screening says, "there is some kind of people, some ngo, who are trying to mobilize funds using the atrocities committed in northern uganda."
"kuna watu fulani, shirika fulani linalotaka kutafuta pesa kwa kutumia ghasia iliyofanyika kaskazini mwa uganda", mganda mwingine katika onyesho lingine alisema.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
290 million students out of school due to covid-19: unesco releases first global numbers and mobilizes response, unesco.
wanafunzi milioni 290 hawako shuleni kutokana na covid-19: unesco yatoa nambari za kimataifa za kwanza na kuanzisha mwitikio, unesco.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: