Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
just lowered his head onto his chest and fell asleep.
yaani alichofanya ni kuinamisha tu kichwa chake na kupitiwa na usingizi mara.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
but we threw him onto the open shore while he was ill.
lakini tulimtupa ufukweni patupu, hali yu mgonjwa.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
indeed when the water swelled up, we boarded you onto the ship.
maji yalipo furika sisi tulikupandisheni katika safina,
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
and the birds also, gathering all oft-returning onto him on his account.
na pia ndege walio kusanywa makundi kwa makundi; wote walikuwa wanyenyekevu kwake.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
anonymous image with the heads of the metro shooters pasted onto the boondock saints movie poster.
picha isiyojulikana kuwa ya nani yenye vichwa vya wapiga risasi hao vikiwa kwenye tangazo la filamu ya watakatifu wa boondock.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
they blocked the entrance of apple daily on october 13 and obstructed the papers from being loading onto the trucks.
wahuni hao walifunga lango kuu la kuingilia kwenye jengo la gazeti hilo mnamo tarehe 13 oktoba na kuzuia magazeti kupandishwa kwenye magari ya kusambaza.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
if not that a favor from his lord overtook him, he would have been thrown onto the naked shore while he was censured.
kama isingeli mfikia neema kutoka kwa mola wake mlezi, bila ya shaka angeli tupwa ufukweni naye ni mwenye kulaumiwa.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
and also some of their fathers and their progeny and their brethren: we chose them and guided them onto the right path.
na kutokana na baba zao, na vizazi vyao na ndugu zao. na tukawateuwa na tukawaongoa kwenye njia iliyo nyooka.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
they walked through the park, often trying to emerge onto the road, but heard many bombs and mortars and so had to go back into the forest.
walikatiza mbugani, wakitarajia kutokeshezea barabarani, lakini walisikia milio ya mabomu na na mizinga na hivyo iliwabidi kurudi tena msituni.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
meanwhile, numerous supporters of the npp have poured onto the streets of circle, ostensibly to listen to party leaders who are assembling near the kwame nkrumah circle to address the teeming crowd.
wakati huo huo, wafuasi wengi wa chama hicho walijitokeza katika mitaa ya circle, wakiwa na kiu ya kuwasikiliza viongozi wa chama chao ambao walikuwa wamejikusanya karibu na mtaa wa kwame nkrumah circle kuwahutubia wananchi.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
they're using new weaponry ... very frightening... as it goes through the air... you hear it very close to you... it's going to come, it's going to kill me, now now now... that's what you think of... it's terrifying... i admit not to care... i have gotten used to the old weaponry... now i have to get used to this one too... i cannot describe in words to you the extent of its terror... like a rocket being projected onto you... and the sound... the sound of a plane in the air coming towards you... magnifying its sound the closer it gets... then it passes above our heads... we are all on the floor
wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: