Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
he was also posting the updates as and when available.
alikuwa pia akituma jumbe zilizosasishwa kama na wakati habari mpya zilivyopatikana.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ray hartley, posting on the times, south africa, blog adds:
ray hartley, anayeandika katika the times, afrika ya kusini, anablogu akiongeza:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
in other news, what’s so bad about posting janet museveni to karamoja?
kwa habari nyingine, je, nini kibaya katika kumtuma janet museveni huko karamoja?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
brazilians are posting passe livre sp comments as part of online protests on the free fare page on facebook.
watu wa brazil wanaweka passe livre sp maoni katika ukurasa wa facebook ujulikanao kama nauli bure kama sehemu ya maandamano kupitia mtandao wa intaneti ya kupinga ongezeko la nauli.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ms fu's comment soon turned into an internet meme, with people posting their own versions.
fu ndani ya muda mfupi yaligeuka kuwa zogo la mtandaoni, ambapo watu waliiga na kuweka maneno yao wenyewe.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
they continually closed my account, blocking me, and warning me, and i kept on deliberately posting my work.
kila mara waliufunga ukurasa wangu, kunizuia kuitumia akaunti yangu na wakati mwingine kunionya, lakini bado niliendelea na kazi zangu kwa makusudi.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
but to keep in touch with her friends and family back in canada, she started posting pictures and short videos to instagram.
hata hivyo, ili kuweza kuwasiliana na rafiki zake na familia yake inayoishi nchini kanada, ilibidi kuanza kuweka picha na video fupi fupi kwenye mtandao wa instagram.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
in addition to posting recommendations on what citizens should do following the earthquake , he has been collecting and linking to various twitpic pictures.
na zaidi ya kuchapisha mapendekezo kuhusi nini raia wanachotakiwa kufanya kufuatia tetemeko la ardhi , amekuwa akikusanya na kupanga picha mbalimbali za twitpic.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
at the time of posting this the press were reporting that 8 people had died and about 40 injured in this blast which left the bodies charred beyond recognition.
wakati wa kutuma makala hii vyombo vya habari vilikuwa vinaripoti kuwa watu 8 wamefariki na wengine 40 wamejeruhiwa katika mlipuko huo ambao uliiacha miili ikiwa imekatwakatwa na haitambuliki.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lately, iqbal ahmad oruzgani, a photographer from afghanistan has also begun posting photos under the hashtag to show afghanistan from a different perspective.
hivi karibuni,iqbal ahmad oruzgani, mpiga picha kutoka afghanistan ameanza pia kuweka picha kwenye alama ishara hiyo hiyo ya mtandao wa twita kwa mtazamo tofauti.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
"it's unbelievable the small things that i was posting that were meaningless if you were in canada," she says.
"huwezi kuamini mambo madogo niliyokuwa nayabandika na kuyaona hayana maana kama ungekuwa kanada, anasema.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
abdullah el shamy and muhammad ghafari, who are among the strikers, were working on the live stream, continuously updating their twitter accounts and posting pictures from the place.
abdullah el shamy na muhammad ghafari, ambao ni miongoni mwa wanaogoma, walikuwa wakishughulikia taarifa zinazoingia moja kwa moja, kwa hiyo walikuwa wakituma taarifa hizo moja kwa moja kwenye akaunti zao za twita na kutuma picha za eneo hilo la kazi.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
when people started posting comments opposing the agreement, hmuu zaw from the president's office clarified that the oic office would only be a temporary liaison office rather than an official representative office.
walipoanza kutuma maoni yao wakipinga makubaliano hayo, hmuu zaw kutoka ofisi ya rais alifafanua kuwa, ofisi ya oic itakuwa ni ya dharura tu itakayofanya kazi kama ofisi ya uwakilishi ya dharura na si kama ofisi ya kudumu ya uwakilishi.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
as a counter measure, many people started posting stories on twitter about "what they love about africa" with the hash tag #whatiloveaboutafrica.
ili kukabiliana na hali hii, watu wengi wameanza kuandika hadithi na kadalika katika twitter kusema ni nini haswa wanapenda kuhusu afrika, wakitumia maneno #whatiloveaboutafrica.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
blog action day, codenamed #bad09 by tech gurus and geeks, is an annual event that unites the world's bloggers in posting about the same issue on the same day.
siku ya kublogu, iliyoitwa kwa jina maalum la #bad09 na wanateknolojia pamoja na waliobobea kwenye fani, ni tukio la kila mwaka linalowaunganisha wanablogu wote ulimwenguni kwa kutundika habari zinazozungumzia suala moja katika siku hiyo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
a lawyer blogger springlaw commented in a posting that starts with a sentence ‘i am posting it, hoping such incident never happens again’ that the marriage was wrong from the start and it got ‘festered’ by the miscommunication, ignorance and late response.
mwanablogu mwanasheria springlaw aliandika katika makala yake inayoanza kwa sentensi ‘ninaandika hili nikiamini kuwa tukio kama hili halitatokea tena’ na kwamba ndoa hiyo ilikuwa batili tokea mwanzo na iliharibiwa zaidi na kutokuwepo kwa mawasiliano, pia ujinga na uchelewaji katika kuchukua hatua.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: