Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
i would just have to hope that youssef would forgive me…someday.
ningepaswa tu kutumaini kuwa youssef angenisamehe...siku moja.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
whoever does so has nothing to hope for from god unless he does it out of fear or taqiyah (pious dissimulation).
na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya mwenyezi mungu. ila ikiwa kwa ajili ya kujilinda na shari zao.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
it is hoped that monk morality can be strengthened to encourage the people to affirm their trust and faith in buddhism which has hugely contributed to national reconciliation and psychological peace, such as the case of survivors of the khmer rouge regime that kept applying buddhist teachings to transform their revenge and anger to hope and peace of mind.
ni matumaini kwamba masuala ya maadili ya watawa yatazingatiwa zaidi ili kuwahimiza watu kujiimarisha zaidi katika imani yao na kuamini kwao imani ya kibuda. imani hiyo imechangia sana katika upatanisho wa kitaifa na amani ya kisaikolojia, hasa katika suala la watu walionusurika kufa mikononi mwa utawala wa khmer rouge. watu hawa waliendelea kufuata mafundisho ya kibuda na hasa katika kujirekebisha mwenendo wao ili kufutilia mbali shauku yao ya kulipiza kisasi na kutawala hasira zao na badala yake kuwa na matumaini na mtazamo wa kutafuta amani zaidi.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.