You searched for: understand business risk and risk management (Engelska - Swahili)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

English

Swahili

Info

English

understand business risk and risk management

Swahili

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Engelska

Swahili

Info

Engelska

insurance and risk management

Swahili

bima na usimamizi wa hatari

Senast uppdaterad: 2022-05-13
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

risk management

Swahili

usimamizi wa hatari

Senast uppdaterad: 2024-02-15
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

cooperate risk management

Swahili

usimamizi wa hatari

Senast uppdaterad: 2019-07-09
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

this would put victims at risk and seeks to impose only a fine on the aggressor.

Swahili

hii itakuwa kuweka waathirika katika hali ya hatari na inataka kulazimisha tu faini kwa mchokozi.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

coming down if you are not willing to risk and get in and clean out horrific wounds would just tax an already taxed place.

Swahili

kama unakuja huku hauko tayari kujiweka katika hatari na kujichanganya katika kusafisha vidonda vya kutisha basi kutazidisha tu machungu kwa watu ambao tayari wana uchungu mkali.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

migrant domestic workers suing their employers for abuse continue, however, to face legal obstacles and risk imprisonment and deportation due to the restrictive visa system.

Swahili

matukio ya wahamiaji wanaofanya kazi za ndani kuwashitaki waajiri wao kwa kuwadhalilisha yanazidi kushika kasi, hata hivyo, wanakabiliwa na changamoto za kisheria na hatari ya kuwekwa gerezani na kurudishwa makwao kutokan na mfumo kandamizi wa taratibu za uhamiaji.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

older travelers and those with underlying health conditions are most at risk and should avoid travel that puts them at risk, such as long plane flights, visits to crowded places, and especially cruises, even outside of severely affected areas.

Swahili

wasafiri wazee na wale walio na matatizo mengine ya kiafya ndio wako kwenye hatari kubwa na wanapaswa kuepuka usafiri ambao unaweza kuwahatarisha, kama vile safari za ndege za muda mrefu, kuzuru maeneo yenye watu wengi, na hasa meli za abiria, hata nje ya maeneo yaliyoathirika sana.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

the government's abysmal risk management skills, their incompetence and lies, and the media that keeps lying non-stop... all of this has enraged the victims' families.

Swahili

mbinu mbovu za kukabiliana na majanga, udhaifu na uongo, na vyombo vya habari vinavyoendelea kudanganya mfululizo...yote haya yameziumiza familia.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

while there are still debates going on about the risks and effectiveness of emergency contraceptives among medical communities, many south korean net users have expressed dissents on the reversal.

Swahili

wakati bado kukiwa na mijadala endelevukuhusiana na madhara na manufaa ya njia hii ya dharura ya kuzuia mimba miongoni mwa watabibu, watumiaji wengi wa mtandao wa intaneti wa korea wamekwishaonesha kutoridhishwa na mabadiliko haya.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Engelska

1) to preserve the public health and safety, and to ensure the healthcare delivery system is capable of serving all, and prioritizing those at the highest risk and vulnerability, all residents are directed to immediately heed the current state public health directives, which i ordered the department of public health to develop for the current statewide status of covid-19.

Swahili

1) ili kuhifadhi afya na usalama wa umma, na kuhakikisha mfumo wa kuwasilisha huduma ya agfya ya kuwahudumia wote, na kuwapa kipaumbele walio walio katika hatari kubwa na wanaoweza kuathirika, wakazi wote wanaelekezwa kufuata mara moja maelekezo ya sasa ya jimbo kuhusu afya ya umma, ambayo niliamuru idara ya afya umma kutengeneza kwa hali ya sasa ya kitaifa ya covid-19.

Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,792,512,781 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK