Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
i think the time is different from me.
nafikiri majira ya masaa yametofautiana na mimi
Senast uppdaterad: 2023-12-15
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
that is very different from just covering blogs by other media outlets.
hivyo ni tofauti kabisa kutoka kwenye kunukuu blogu kama ilivyo katika vyombo vingine vya habari.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
we do not have an ideology, which is why our path is different from the major parties."
hatuna itikadi, ndio sababu njia yetu ni tofauti na vyama vikuu. "
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
despite this, none of them have the same story. each one is different from the other.
pamoja na hali hii, kila mmoja ana simulizi yake iliyo tofuti na ya wengine.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
we are now in the arusha region and the weather here is different from where we are going.
sasa hivi tupo katika mkoa wa arusha na hali ya hewa ya huku ni tofauti na sehemu tunapo enda
Senast uppdaterad: 2024-10-14
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
this community has a way of life that is very different from ours and their way is clearly at odds with the way of life of their neighbors.
jamii hii ina utamaduni tofauti sana na wetu, na ni wazi kwamba utamaduni wao unahitilafiana na huo wa majirani zao.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
this morning i was bombed by an email that i received from my friend from highschool, that he is not doing well and lost 7 kgs the last 3 months because he is going through divorce.
asubuhi hii nilipigwa na barua pepe niliyopokea kutoka kwa rafiki yangu tuliyekuwa naye shule ya sekondari, kwamba haendelei vizuri na amepoteza kilo 7 katika miezi 3 iliyopita kwa sababu yumo katika mchakato wa talaka.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
the ministry of health and social welfare in banjul has already established a 24-hour information hotline from any network within the country. #ebolafreegambia campaign is different from the efforts by the ministry of health to sensitize gambians.
wizara ya afya na ustawi wa jamii jijini banjul tayari imeanzisha laini ya simu inayopatikana masaa 24 kupitia mitandao yote nchini humo. kampeni ya #ebolafreegambia inatofautiana na jitihada nyingine zinazochukuliwa na wizara ya afya zinazolenga kuwaelimisha wa-gambia.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: