Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
des jeunes appellent à la mobilisation citoyenne.
kijana akitoa wito wa kuhamasishaji umma.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
nous fîmes d'eux des dirigeants qui appellent les gens au feu.
na tuliwafanya ni waongozi waitao kwenye moto.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
sur dix personnes qui appellent les secours, huit sont empêchées d'en recevoir.
wanane kati ya watu kumi wanaoomba msaada huzuiliwa kupokea msaada huo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
des journalistes nous appellent pour nous dire que leurs sources leur disent qu'ils seront libérés demain
baadhi ya waandishi wanatupigia simu kutuambia kuwa vyanzo vyao vya habari vinasema ataachiliwa kesho
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
ceux qui t'appellent à haute voix de derrière les appartements, la plupart d'entre eux ne raisonnent pas.
hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili.
Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
comme pour les précédents mouvements, ce sont les réseaux sociaux qui ont le plus diffusé les informations, face à ce que les usagers appellent le #silenciomediático.
kama ilivyokuwa kwa maandamano yaliyotangulia, mitandao ya kijamii ndiyo iliyotumika kusambaza taarifa kwa kiasi kikubwa, hatua iliyosababishwa na kile watumiaji wake walichokiita #silenciomediático (kimya cha vyombo vikuu vya habari).
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
beaucoup sont aussi en colère contre ce qu'ils appellent l'ingérence des etats-unis dans les affaires de l'egypte.
wengi pia wana hasira kwa kile wanachokiita hatua ya marekani kuingilia mambo ya ndani ya misri.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
certains blogueurs sont complètement outrés par le son produit par les vuvuzelas tandis que d'autres appellent à la tolérance et à l’ouverture d’esprit.
wanablogu wengine wanakerwa na sauti inayotoka kwenye vuvuzela wakati wengine wanatoa wito wa watu kuwa na uvumilivu pamoja na uelewa wa mambo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
maintenant à zouérate, plus de 2 300 travailleurs protestent contre ce qu'ils appellent une traite d'êtres humains et ils demandent de mettre fin à leur contrat établi avec des sociétés intermédiaires.
huko zouerat sasa, zaidi ya wafanyikazi 2,300 wanapinga kile wao wanaita biashara ya binadamu na wanatoa wito wa kusitisha mkataba wao na makampuni madogomadogo
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
peu de blogueurs publient directement depuis gaza, par contre beaucoup d'habitants de ce territoire envoient des messages ou appellent le monde extérieur en utilisant le téléphone dans l'espoir que leurs témoignages seront rapportés.
japokuwa kuna idadi ndogo ya wanablogu wanaoandika moja kwa moja kutokea gaza, wakazi wengine wengi wanatumia ujumbe wa maandishi wa simu za mkononi pamoja na simu nje ya nchi katika matumaini kwamba ushahidi wao utapata sehemu ya kuelezwa.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
après cette réponse, cnn, qui couvrait les événements en direct, s'est lancée dans ce que de nombreux internautes appellent "une campagne insipide en faveur du président frère musulman déchu et sa légitimité, qui qualifie les rassemblements pro-morsi de "pacifiques", appelle la revendication populaire "coup d'etat" et dénonce l'action de l'armée contre les protestataires "pacifiques" de la confrérie :
kufuatia tamko hilo, cnn, ambayo kwa sasa inatangaza moja kwa moja yanayoendelea misri, ilianza kile kinachoitwa na raia wa mtandaoni kuwa "kampeni ya ghafla ya kumwuunga mkono rais wa muslim brotherhood aliyeng'olewa na uhalali wake kwa kuielezea mikutano ya wafuasi wa morsi kuwa "yenye amani", wakiyaita madai ya wengi "mapinduzi ya kijeshi" na wakipinga hatua za kijeshi dhidi ya waandamanaji "wasio-na-vurugu" wa muslim brotherhood :
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering