Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
christine vuole rendere i consumatori consapevoli che comprare prodotti di avorio è uguale ad uccidere gli elefanti.
christine anataka wateja waelewe kuwa kununua bidhaa zinazotokana na pembe za ndovu ni sawa na kuua tembo.
recentemente ha lanciato un piano per salvare gli elefanti africani con l'implementazione del 'corridoio degli elefanti'.
ni kupitia mbuga za wanyama zinazovuka mipaka ya nchi kwamba tunaweza kufanikisha jambo hilo.
devono essere chiamati in causa e siete voi attivisti a doverlo fare, a dover domandare al vostro governo di chiedere alla cina di fermarsi, così che gli elefanti abbiano il loro diritto alla vita.
kwa hiyo ni lazima wawajibishwe, na nyie, wanaharakati, ndio mnaopaswa kuchukua hatua, za kuitaka serikali yenu kuitaka china kumaliza viwanda hivyo ili tembo wapate haki yao ya kuishi.
ecco perché le campagne contro il commercio di avorio come salviamo tutti gli elefanti stanno chiedendo l'interruzione dell'industria dell'avorio intagliato in cina.
ni kwa sababu hiyo kampeni za kupinga bishara ya pembe za ndovu kimataifa, kama hiyo ya waokoe tembo wote, zinatoa wito wa kumalizwa kwa biashara ya vito vinavyotokana na pembe hizo nchini china:
la manifestazione locale è stata un'azione solidale con la marcia internazionale per gli elefanti, organizzata dal fondo fiduciario per la fauna selvatica di david sheldrick, nell'ambito della campagna iworry.
mkutano huo ni hatua ya kuunga mkono matembezi ya kimataifa kwa ajili ya kupigania tembo yaliyoandaliwa na mfuko wa wanyamapori wa david sheldrick chini ya kampeni ya iworry.
in un'intervista con il sito inmediahk.net, lucy e christina hanno detto di amare gli animali e di voler fermare l'uccisione di massa degli elefanti, aiutando a dare loro una voce.
katika mahojiano na mtandao wa inmediahk.net, wanasema wanapenda wanyama na kuwa wangependa kuwasaidia kusema ili kumaliza kuuawa kwa tembo.