You searched for: kuondoka (Swahili - Arabiska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

kuondoka

Arabic

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Arabiska

Info

Swahili

katika majuma ya hivi karibuni maafisa wa syria wamehamisha vito vya thamani kutoka kwenye makumbusho, lakini hawakuwaonya wakazi kuondoka pia

Arabiska

نقل مسؤولون سوريون الآثار من متحف مدينة تدمر في الأسبوع الماضي، لكنهم لم ينبهوا الأهالي على الخروج منها.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

haukupita muda, walizingirwa na zaidi ya magari 30 ya polisi , na na kisha dereva wao kutiwa nguvuni na wote walizuiwa kuondoka.

Arabiska

وسرعان ما تمت محاصرتهن بسرعة بأكثر من ٣٠ سيارة شرطة واعتُقِل سائقهن وتم منعهن من التحرك.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

tarehe 30 juni, raia wa misri waliandamana wakishinikiza kuondoka madarakani kwa kiongozi wa chama cha kindugu cha kiislam (muslim brotherhood0na rais wa misri mohamed morsi.

Arabiska

في 30 يونيو / حزيران، خرج الشعب المصري للشوارع للمطالبة برحيل الرئيس محمد مرسي، مرشح الإخوان المسلمين، عن السلطة.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa mujibu wa al-rasheed, walikuwa wamekaa nje ya mkahawa wakati gari la cpvpv lilipokuwa likipita kwa kuwaamuru watu kuondoka eneo hilo waende kwenye swala ya jioni.

Arabiska

م) في الرياض رجلين بزعم إهانتهما للدين وهما @balrasheed بدر الرشيد وعبد الله البلاسي @3bdlla الذين قاما بمشاركة قصتهما على تويتر.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

baada ya hao malaika kuondoka na kurudi mbinguni, wachungaji wakaambiana: "twendeni moja kwa moja mpaka bethlehemu tukalione tukio hili bwana alilotujulisha."

Arabiska

ولما مضت عنهم الملائكة الى السماء قال الرجال الرعاة بعضهم لبعض لنذهب الآن الى بيت لحم وننظر هذا الامر الواقع الذي اعلمنا به الرب.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

ilikuwa kabla ya sikukuu ya pasaka. yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa baba ilikuwa imefika. alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda mpaka mwisho!

Arabiska

اما يسوع قبل عيد الفصح وهو عالم ان ساعته قد جاءت لينتقل من هذا العالم الى الآب اذ كان قد احب خاصته الذين في العالم احبهم الى المنتهى.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

nimekulia ureno na ninajisikia mreno. vile vile nimeishi uingereza kwa takribani miaka kumi na mitano (nikiondoka na kurudi). kwa kweli niliondoka london mwezi machi 2003 kwa lengo la kwenda na kutulia ureno; nilikuwa nimemaliza shahada yangu ya sanaa (ba) katika uchoraji katika shule ya sanaa ya wimbledon mwaka 2000,, na nikaacha kuchora kwa miaka mitatu iliyofuata, kwa hiyo nikaamua ulikuwa ni wakati wa kuondoka.

Arabiska

ف ): والدي برتغالي ووالدتي إسبانية، نشأت في البرتغال وأشعر أني برتغالية، عشت في انجلترا لمدة ١٥ عاما ( أذهب وأعود) تركت لندن في مارس/آذار ٢٠٠٤ لأعود وأستقر في البرتغال ونلت شهادة البكالريوس في الفنون الجميلة عام ٢٠٠٠ من مدرسة ويمبلدون للفنون توقفت بعدها عن الرسم لمدة ثلاثِ سنوات ومن ثم قررت الرحيل، وفي نوفمبر/تشرين الثاني قررت وصديقة برتغالية السفر إلى غينيا-بيساو في سيارة رينو ٤ ل، تعطلت بنا السيارة في الساحل الموريتاني عند حوض أركين، بقيت صديقتي في نواكشوط أما أنا فرافقت مجموعة سياح فرنسيين كانوا في طريقهم لاكتشاف إقليم أردار.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,794,833,056 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK