You searched for: kusikiliza (Swahili - Arabiska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

kusikiliza

Arabic

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Arabiska

Info

Swahili

unaweza kusikiliza na kutuambia unapenda zipi.

Arabiska

قم بالاستماع و أطلعنا على رأيك.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo.

Arabiska

ولكن كونوا عاملين بالكلمة لا سامعين فقط خادعين نفوسكم.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

watu walijiunga kusikiliza kwa makini ule ujumbe wa filipo na kuona ile miujiza aliyoifanya.

Arabiska

‎وكان الجموع يصغون بنفس واحدة الى ما يقوله فيلبس عند استماعهم ونظرهم الآيات التي صنعها‎.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wanawake na watoto wakati wa maandamano ya pamoja ya kuishinikiza serikali kusikiliza matakwa yao.

Arabiska

النساء والأطفال خلال الاعتصام السلمي.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wananchi wa athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.

Arabiska

‎اما الاثينيّون اجمعون والغرباء المستوطنون فلا يتفرغون لشيء آخر الا لان يتكلموا او يسمعوا شيئا حديثا

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

zipandishe ziwe kwa mfumo wa sauti na video -au kwa kubofya kitufe na kusikiliza kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta.

Arabiska

وإن أردت مشاركة تهويدتك المفضلة، ما عليك إلا أن تقوم برفع مقطعك الصوتي أو الفيديو الخاص بك أو ببساطة الضغط على الزر والغناء وسيتم تحميل ما سجلته تلقائيًا.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ingawa wote alaa na ahmed abdel rahman wamekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwezi wakisubiri uchunguzi, hakuna tarehe iliyopangwa na mahakama kwa ajili ya kusikiliza kesi.

Arabiska

على الرغم من أن علاء وأحمد عبد الرحمن محتجزين منذ أكثر من شهر على ذمة التحقيق، لم يحدد موعد محاكمتهم حتى الآن.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kufuatia mashambulizi hayo, watu wa jamii ya hazara wa kutoka quetta walikutana katika barabara ya alamdar na kisha kuanzisha maandamano ya amani ya kukaa mahali pamoja na kuishinikiza serikali kusikiliza madai yao.

Arabiska

بعد الهجمات، تجمع أعضاء مجتمع كويتا الهزارة على طريق علمدار وبدأ الاعتصام بصورة سلمية.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa hiyo nilikutumia ujumbe bila kuchelewa, nawe umefanya vyema kuja. sasa, sisi tuko mbele ya mungu, kusikiliza chochote ambacho bwana amekuamuru kusema."

Arabiska

‎فارسلت اليك حالا. وانت فعلت حسنا اذ جئت. والآن نحن جميعا حاضرون امام الله لنسمع جميع ما امرك به الله

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

mmoja wa wafanyakazi wa kampeni hiyo ya witness, bukeni waruzi, anayetokea kongo mashariki, ambaye pia ni mtetezi wa muda mrefu wa haki za binadamu, alikuwa mjini the hague kusikiliza hukumu hiyo.

Arabiska

كان بوكيني واريوزي، أحد أعضاء منظمة ويتنيس، أصله من شرق جمهورية الكونجو الديمقراطية ويعمل منذ وقت طويل محام لحقوق الإنسان، حاضرا في لاهاي لسماع الحكم.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atashuhudia kwamba kina hatia. yeye alisafiri kutoka mbali, akaja kusikiliza maneno ya hekima ya solomoni; kumbe hapa pana mkuu zaidi kuliko solomoni.

Arabiska

ملكة التيمن ستقوم في الدين مع رجال هذا الجيل وتدينهم. لانها أتت من اقاصي الارض لتسمع حكمة سليمان وهوذا اعظم من سليمان ههنا.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kuhusiana na hili, kuna swali liliulizwa: ni nani mwenye haki ya kusikiliza houmani? watu wa 'tabaka la matajiri' wana haki ya kujilinganisha na hali halisi ya maisha inayozungumzwa kwenye houmani?

Arabiska

السؤال الذي طرح بشأن هذا: من له الحق لأن يسمع حوماني؟ هل ساكنو الأحياء الغنية لهم الحق ليعبروا عن أنفسهم بسماعهم إلى نمط الحياة اليومية الذي تم سرده عن طريق "حوماني".

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Få en bättre översättning med
7,739,450,386 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK