You searched for: kutosha (Swahili - Arabiska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

kutosha

Arabic

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Arabiska

Info

Swahili

hakuna nafasi ya kutosha kwenye pakwenda. jaribu kuyaondoa mafaili ili kufanyiza nafasi.

Arabiska

لا توجد مساحة كافية في الوجهة. حاول إزالة ملفات لإفراغ مساحة.

Senast uppdaterad: 2014-08-15
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

4.kutumia zana huru za uandishi wa kiraia zinazopatikana vya kutosha na majukwaa ya mitandao ya kijami.

Arabiska

استخدام أدوات إعلام المواطن ومنصات الإعلام الاجتماعي المجانية والمتاحة.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

serikali isiyoweza kuhakikisha watu wake wanapata hewa ya oxygen ya kutosha ndiyo hii inayojigamba kuonesha mfano wa kuigwa wa kiutawala ulimwenguni kote.

Arabiska

ويزعم النظام الذي لا يستطيع توفير الأكسجين لشعبه أن يصدر نظامه للحكم للعالم أجمع.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa upande mwingine tshabalala-msimang amelaumiwa vikali kwa kutofanya juhudi za kutosha kukabili tatizo la vvu na ukimwi nchini humo.

Arabiska

وكان يلام تشابالالا-مسيمانغ على سوء الاستجابة لمشكلة الإيدز في جنوب أفريقيا.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa maana, ni nani miongoni mwenu ambaye akitaka kujenga mnara hataketi kwanza akadirie gharama zake ili ajue kama ana kiasi cha kutosha cha kumalizia?

Arabiska

ومن منكم وهو يريد ان يبني برجا لا يجلس اولا ويحسب النفقة هل عنده ما يلزم لكماله.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kadiresan pia alionyesha kwamba benki ya dunia inaguswa na ukweli kwamba si tu kuwa sera ya kilimo ya serikali inashindwa kuhakikisha uendelevu wa ukuaji wa sekta ya uchumi, lakini pia serikali haichukui hatua za kutosha kutengeneza ajira pamoja na kupunguza umasikini

Arabiska

أشار كاديريسان أيضاً إلى قلق البنك الدولي من فشل سياسة الحكومة في ضمان التنمية المستدامة للقطاع الزراعي، بالإضافة إلى بذلها مجهود ضعيف ومتدني لخلق فرص عمل والحد من الفقر.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

vyanzo vya vifo hivi ni vingi, ikiwa ni pamoja na kukosa wataalamu wa kutosha wa kuwasaidia wanawake wakati wa kujifungua, matunzo hafifu katika kipindi cha kabla ya kujifungua na ukosefu wa huduma za dharura.

Arabiska

أضف إلى ذلك محدودية الوصول إلى كوادر ذات خبرة أثناء عملية الولادة، وقلة الرعاية قبل الولادة، ونقصها في حالات الطوارئ.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

tumechukua uamuzi ili kulinda usalama wa chakula katika nchi na pia kuhakikisha kwamba wakulima wadogo hawakatishwi tamaa kuzalisha mazao katika miaka ijayo…kuhakikisha mahindi yanayolimwa zambia yanakuwa na ushindani vya kutosha katika soko la kimataifa.

Arabiska

لقد أتخذنا هذا القرار لحماية الأمن الغذائي في البلاد وأيضا لضمان تشجيع المزارع البسيط على إنتاج وزراعة المحصول في السنوات القادمة. . .

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ukosefu wa mfumo wa usafi ndiyo sababu kubwa ya maambukizi na huua watu milioni 1.8, hasa watoto, kila mwaka. hata nchi zenye vyoo vya kutosha huwa zinakabiliana na matatizo yanayotokana na vyoo vichafu vya umma mpaka utupaji majitaka unaoharibu njia za maji.

Arabiska

حتى تلك البلدان التي تتمتع بوفرة من المراحيض عليها أن تتعامل مع مشاكل عديدة من المراحيض العامة الغير صحّية إلى عمليات التخلص من نفايات الصرف الصحي بطريقة سليمة.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

Arabiska

دعم برامج التغذية التي تستهدف الفئات الأكثر احتياجًا، وحصولهم على التغذية الكافية؛ دعم كفاءة الميزانية، تحسين إدارة الموارد البشرية للرعاية الصحية، توفير مستلزمات ولادة خالية من المخاطر، تعيين أطباء في المراكز الصحية في المناطق الريفية.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,764,052,980 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK