Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
maskini mtakuwa nao siku zote, lakini hamtakuwa nami siku zote."
لان الفقراء معكم في كل حين. واما انا فلست معكم في كل حين
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
"heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
طوبى للمساكين بالروح. لان لهم ملكوت السموات.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
maskini miye! nani atakayeniokoa kutoka katika mwili huu unaonipeleka kifoni?
ويحي انا الانسان الشقي. من ينقذني من جسد هذا الموت.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
maskini mnao daima pamoja nanyi, lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima.
لان الفقراء معكم في كل حين. واما انا فلست معكم في كل حين.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata rafiki yako asijue ufanyalo.
واما انت فمتى صنعت صدقة فلا تعرف شمالك ما تفعل يمينك.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
yangaliweza kuuzwa kwa fedha kiasi cha denari mia tatu, wakapewa maskini!" wakamkemea huyo mama.
لانه كان يمكن ان يباع هذا باكثر من ثلاث مئة دينار ويعطى للفقراء. وكانوا يؤنبونها.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
wakatuomba lakini kitu kimoja: tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi kutekeleza.
غير ان نذكر الفقراء. وهذا عينه كنت اعتنيت ان افعله
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kulikuwa pia na maskini mmoja jina lake lazaro, aliyekuwa amejaa vidonda na alikuwa analazwa mlangoni pa nyumba ya huyo tajiri.
وكان مسكين اسمه لعازر الذي طرح عند بابه مضروبا بالقروح.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
maskini mnao daima pamoja nanyi; mnaweza kuwasaidia wakati wowote mnaopenda. lakini mimi sitakuwapo pamoja nanyi daima.
لان الفقراء معكم في كل حين ومتى اردتم تقدرون ان تعملوا بهم خيرا. واما انا فلست معكم في كل حين.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa na viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa habari njema.
العمي يبصرون والعرج يمشون والبرص يطهرون والصم يسمعون والموتى يقومون والمساكين يبشّرون.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
waumini wa huko walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha yao ilikuwa kubwa hivi hata wakawa wakarimu kupita kiasi, ingawaje walikuwa maskini sana.
انه في اختبار ضيقة شديدة فاض وفور فرحهم وفقرهم العميق لغنى سخائهم.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
"ikatokea kwamba huyo maskini akafa, malaika wakamchukua, wakamweka karibu na abrahamu. na yule tajiri pia akafa, akazikwa.
فمات المسكين وحملته الملائكة الى حضن ابراهيم. ومات الغني ايضا ودفن.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa kiyahudi na alikuwa anasali daima.
وهو تقي وخائف الله مع جميع بيته يصنع حسنات كثيرة للشعب ويصلّي الى الله في كل حين.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
walipigwa mawe, walipasuliwa vipandevipande, waliuawa kwa upanga. walizungukazunguka wakiwa wamevaa ngozi za kondoo na ngozi za mbuzi, walikuwa watu maskini, walioteswa na kudhulumiwa.
رجموا نشروا جربوا ماتوا قتلا بالسيف طافوا في جلود غنم وجلود معزى معتازين مكروبين مذلين.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wakati huo huo, maafisa wa serikali walitengeneza kwa haraka ukuta wa kijani pembezoni mwa barabara ambazo msafara wa papa francis ungepita, kwa lengo la kumzuia papa na watu wengine waliokuwa kwenye msafara huo kuo mitaa wanayoishi maskini pembezoni mwa kizuizi.
وقد أقام المسؤولون حائطاً أخضر اللون على طول طريق موكب البابا مانعين إياه هو وراكبي الدراجات النارية المرافقين من رؤية الأحياء الفقيرة خلف هذا الحائط.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
yesu akamwambia, "kama unapenda kuwa mkamilifu, nenda ukauze mali yako uwape maskini hiyo fedha, nawe utakuwa na hazina mbinguni, kisha njoo unifuate."
قال له يسوع ان اردت ان تكون كاملا فاذهب وبع املاكك واعط الفقراء فيكون لك كنز في السماء وتعال اتبعني.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, "kuna nini mheshimiwa?" huyo malaika akamwambia, "mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini.
فلما شخص اليه ودخله الخوف قال ماذا يا سيد. فقال له. صلواتك وصدقاتك صعدت تذكارا امام الله.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
yesu akamtazama, akampenda, akamwambia, "umepungukiwa na kitu kimoja: nenda ukauze vitu ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate."
فنظر اليه يسوع واحبه وقال له يعوزك شيء واحد. اذهب بع كل مالك واعط الفقراء فيكون لك كنز في السماء وتعال اتبعني حاملا الصليب.
Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering