Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mwanablogu wa kimisri lasto adri anaeleza kuchukizwa kwake na jinsi kile kilichopaswa kuwa tukio la michezo, kimeshushwa hadhi na kuwa pambano chafu.
بحق الإله لا يهم من الذي سيصل إلى . المدونة المصرية لست أدري ، تشجب كيف ما كان من المفترض أن يكون حدث رياضي، تحول الى مواجهة مقرفة.
je, hamjui kwamba katika uwanja wa michezo, ingawa wapiga mbio wote hukimbia, ni mmoja tu anayejinyakulia zawadi?
الستم تعلمون ان الذين يركضون في الميدان جميعهم يركضون ولكن واحدا يأخذ الجعالة. هكذا اركضوا لكي تنالوا.
mji wote ukajaa ghasia. wakawavamia gayo na aristarko, wenyeji wa makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.
فامتلأت المدينة كلها اضطرابا واندفعوا بنفس واحدة الى المشهد خاطفين معهم غايوس وارسترخس المكدونيين رفيقي بولس في السفر
huku likichapisha idadi ya nakala zipatazo 23,000, gazeti hili huchapisha habari mbalimbali zikiwemo zile za siasa, utamaduni na michezo katika lugha ya ki-urdu.
توزع الصحيفة تقريبا 23 ألف نسخة وتغطي طيفا واسعا من الاخبار بلغة الأردو حيث تشمل السياسة والثقافة والاقتصاد.
nakumbuka mchezo wa kuangalia cha kusema, shauri ya kutokupenda kwangu michezo hatukuwahi kuwa na mazungumzo ya zaidi ya mistari mitano (kwa uhakika kabisa nakumbuka kwa zaidi ya miaka kumi), lakini kwa kufahamu mahusiano yetu katika maeneo mengine, angalau naweza kusema nilikuwa na baba.
أتذكر لعبة البحث عن أي شيء للحديث عنه، بسبب عدم اهتمامي بالرياضة لم تكن لدينا محادثة أطول من خمسة ردود (خلال أكثر من عشر سنوات)، لمجرد معرفة الحكايات وقصص أخرى، على الأقل كان لي أب.