You searched for: vijana (Swahili - Arabiska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

vijana

Arabic

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Arabiska

Info

Swahili

kadhalika, wahimize vijana wawe na kiasi.

Arabiska

كذلك عظ الاحداث ان يكونوا متعقلين

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

vijana wa kisaudi wakamatwa wakituhumiwa "kukashifu dini"

Arabiska

السعودية: اعتقال رجلين بتهمة "إهانة الدين"

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

ili wawazoeze kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,

Arabiska

لكي ينصحن الحدثات ان يكنّ محبات لرجالهنّ ويحببن اولادهنّ

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

vijana wakafika wakaufunika mwili wake, wakamtoa nje, wakamzika.

Arabiska

‎فنهض الاحداث ولفوه وحملوه خارجا ودفنوه

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wimbo wa mahadhi ya kufoka upendwao na vijana nchini tunisia

Arabiska

أغنية راب تتحول إلى نشيد رسمي للشباب التونسي

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ninaamini kwamba picha za vijana wa mubarak inabidi ziwe na posti yake ya kujitegemea.

Arabiska

قدمت حركة حماس التهنئة لمصر رئيسًا وحكومة وشعبًا لحصولها على لقب “بطولة كأس الأمم الأفريقية” السابعة والعشرين للمرة السابعة فى تاريخها والثالثة على التوالى.

Senast uppdaterad: 2024-03-23
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

nilikutana na ndugu wa vijana waliokuwa wakilitangaza kundi la isis kwenye mitandao ya kijamii.

Arabiska

لقد التقيت أقارب الشّباب الذّين روّجوا لداعش على مواقع التّواصل الاجتماعي.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

usimkemee mtu mzee, bali msihi kama vile angekuwa baba yako. watendee vijana kama ndugu zako,

Arabiska

لا تزجر شيخا بل عظه كأب والاحداث كاخوة

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

blinky pamoja na wasanii wenzake wanafanya kila juhudi kuwapa vijana njia mbadala ya kujieleza kwa amani.

Arabiska

بدأ بلينكي بنشر فنه وسط الهندوراس وبذلك يعود الفضل له ولزملائه من الفنانين في نشر الحياة وسط مدينة حملت اسم الموت لسنوات.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kama nilivyogusia hapo awali, hawa vijana walienda angola kutazama mechi ya fainali kati ya misri na ghana.

Arabiska

كتبت زينوبيا موضوعاً آخر هنا، عن أبناء الرئيس المصري الذين ذهبوا إلى أنجولا لتشجيع المنتخب المصري:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa kristo watataka kuolewa tena,

Arabiska

اما الارامل الحدثات فارفضهنّ لانهنّ متى بطرن على المسيح يردن ان يتزوجن.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

katika wimbo huo, hamzaoui na kafon wanaelezea hali halisi ya maisha wanayokabiliana nayo vijana wanaoishi kwenye mitaa inayojulikana kama ya wachapakazi nchini tunisia.

Arabiska

في الأغنية يصف حموزي وكافون حال الشباب الذين يعيشوا في أحياء الطبقة الطبقة الكادحة في تونس.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

maombi yanayoweza kukubaliwa ni yale yanayokusudia kubuni huduma mpya zitakazotumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa njia za kiubunifu ili kuweza kukidhi mahitaji ya watoto na vijana katika jamii zao.

Arabiska

دعوة للمكتبات العامة والمجتمعية في الدول النامية أو دول الاقتصاد الانتقالي للتقديم في منح برنامج منظمة "المعلومات الإلكترونية للمكتبات" لإبداع المكتبات العامة .

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

zaidi ya watu mia mbili wametia saini hati ya malalamiko mtandaoni na kutoa wito kwa umoja wa mataifa kuchukua hatua kuhusiana na hali za wanaharakati wa utamaduni hususani suala la washairi hao vijana nchini irani.

Arabiska

وقد وقع أكثر من مئتي شخص على عريضة إلكترونية مطالبين الأمم المتحدة باتخاذ اجراءات إزاء وضع النشطاء الثقافيين وخاصة قضية الشاعرين في إيران.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

vijana wa kituruki wana weledi kuhusiana na matumizi ya zana za kupata huduma hiyo ziitwazo tor na vpn, na watumiaji wa twita nchini uturuki walijipanga haraka sana kiasi ambacho huenda kilimchanganya kichwa ndugu erdogan.

Arabiska

الشباب التركي متطور في استخدام تور والشبكات الخاصة الافتراضية في حين تم إعادة تكوين فضاء توتير التركي بسرعة كبيرة. ربما جعلت أردوغان يشعر بالدوار.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kundi hilo ni mkusanyiko wa vijana wa morocco ambapo lengo lao ni "kuchukua hatua, na kujadili ufumbuzi madhubuti wa kukuza ubora wa mfumo wa elimu".

Arabiska

ويهدف تجمع الشباب المغاربة للعمل والكفاح وإيجاد حلول ملموسة لتحسين النظام.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

sisi vijana wa rfd, tumesikia kauli ya balozi wa marekani nchini mauritania, iliyotolewa katika vuguvugu la februari 25 ambapo alionekana kuunga mkono utawala wa kijeshi unaowanyanyasa watu wetu na kukejeli upinzani huku kumshambulia waziwazi kiongozi wetu ahmed ould dadah.

Arabiska

اطلعنا في المنظمة الوطنية لشباب تكتل القوى الديمقراطية خلال الأيام الماضية على تسجيل صوتي نشرته حركة 25 فبراير، يحتوي على تصريحات للسفيرة الأمريكية في موريتانيا تساند خلالها النظام العسكري الجاثم على صدور أبناء شعبنا وتسخر فيه من منسقية ومؤسسة المعارضة الديمقراطيتين و تسيء لزعيم المعارضة الرئيس أحمد ولد داداه إساءة صريحة

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

nyaraka kuhusu syria zilizotolewa na mradi wa vyombo vya habari vya vijana ziliripoti kuhusu kifo chake, na blogu ya habari nchini humo yalla souriya ilimwita kijana huyo kuwa "roho wa syria".

Arabiska

تم نشر خبر وفاته بواسطة مشروع الشباب الإعلامي المركز السوري للتوثيق وأيضاً مدونة الأخبار السورية يللا سوريا التي أطلقت عليه اسم "روح سوريا".

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

manao tarehe 14 septemba, wasanii wa tunisia hamzaoui med amine na kafon walitoa wimbo wao mpya ujulikanao kama 'houmani'. hadi sasa ukiwa na watazamaji zaidi ya milioni 3.4 katika mtandao wa youtube, wimbo huu umekuwa kama wimbo wa taifa miongoni mwa vijana nchini tunisia.

Arabiska

في الرابع عشر من سبتمبر / أيلول، قام إثنان من صغار الفنانين التونيسيين، حموزي أمين وكافون، بطرح أحدث أغنية لهم على يوتيوب بعنوان "حوماني".

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Få en bättre översättning med
7,776,513,508 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK