You searched for: waovu (Swahili - Arabiska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

Arabic

Info

Swahili

waovu

Arabic

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Arabiska

Info

Swahili

hapo yakatimia maandiko matakatifu yanayosema, "aliwekwa kundi moja na waovu."

Arabiska

فتم الكتاب القائل واحصي مع اثمة.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

tulipokuwa bado wanyonge, kristo, wakati ulipotimia, alikufa kwa ajili yetu sisi waovu.

Arabiska

لان المسيح اذ كنا بعد ضعفاء مات في الوقت المعيّن لاجل الفجار.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

watu waovu na wadanyanyifu watazidi kuwa waovu zaidi na zaidi kwa kuwadanganya wengine na kudanganyika wao wenyewe.

Arabiska

ولكن الناس الاشرار المزوّرين سيتقدمون الى اردأ مضلّين ومضلّين.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

ni lazima mwana wa mtu atolewe kwa watu waovu, nao watamsulubisha, na siku ya tatu atafufuka."

Arabiska

قائلا انه ينبغي ان يسلّم ابن الانسان في ايدي اناس خطاة ويصلب وفي اليوم الثالث يقوم.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

ili mpate kuwa watoto wa baba yenu aliye mbinguni. kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu wabaya na wema, na kuwanyeshea mvua watu wanyofu na waovu.

Arabiska

لكي تكونوا ابناء ابيكم الذي في السموات. فانه يشرق شمسه على الاشرار والصالحين ويمطر على الابرار والظالمين.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

enyi kizazi cha nyoka! mnawezaje kusema mambo mema hali ninyi ni waovu? maana mtu husema kutokana na yale yaliyojaa moyoni.

Arabiska

يا اولاد الافاعي كيف تقدرون ان تتكلموا بالصالحات وانتم اشرار. فانه من فضلة القلب يتكلم الفم.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa hiyo, basi, bwana anajua jinsi ya kuwaokoa katika majaribu watu wanaomcha mungu, na jinsi ya kuwaweka waovu katika adhabu hadi siku ile ya hukumu,

Arabiska

يعلم الرب ان ينقذ الاتقياء من التجربة ويحفظ الاثمة الى يوم الدين معاقبين

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kama basi ninyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba.

Arabiska

فان كنتم وانتم اشرار تعرفون ان تعطوا اولادكم عطايا جيدة فكم بالحري ابوكم الذي في السموات يهب خيرات للذين يسألونه.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

wao wakamjibu, "atawaangamiza vibaya hao waovu, na lile shamba atawapa wakulima wengine ambao watampa sehemu ya mavuno wakati wa mavuno."

Arabiska

قالوا له. أولئك الاردياء يهلكهم هلاكا رديّا ويسلم الكرم الى كرامين آخرين يعطونه الاثمار في اوقاتها.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

alipowajia mara ya tatu aliwaambia, "mnalala bado na kupumzika? sasa imetosha! saa imefika! mwana wa mtu anakabidhiwa kwa watu waovu.

Arabiska

ثم جاء ثالثة وقال لهم ناموا الآن واستريحوا. يكفي. قد أتت الساعة. هوذا ابن الانسان يسلم الى ايدي الخطاة.

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye kumtukana mungu, wasiowatii wazazi wao, wasio na shukrani na waovu;

Arabiska

لان الناس يكونون محبين لانفسهم محبين للمال متعظمين مستكبرين مجدّفين غير طائعين لوالديهم غير شاكرين دنسين

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

basi, huenda na kuwachukua pepo wengine saba waovu zaidi kuliko yeye; wote huenda na kumwingia mtu yule. hivyo, basi hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko pale mwanzo."

Arabiska

ثم يذهب ويأخذ سبعة ارواح أخر اشر منه فتدخل وتسكن هناك. فتصير اواخر ذلك الانسان اشر من اوائله

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

kwa maana kristo mwenyewe alikufa kwa ajili ya dhambi zenu; alikufa mara moja tu na ikatosha, mtu mwema kwa ajili ya waovu, ili awapeleke ninyi kwa mungu. aliuawa kimwili lakini akafanywa hai kiroho;

Arabiska

فان المسيح ايضا تألم مرة واحدة من اجل الخطايا البار من اجل الاثمة لكي يقربنا الى الله مماتا في الجسد ولكن محيى في الروح

Senast uppdaterad: 2012-05-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
8,025,503,272 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK