Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
mwanablogu huyo ameweka ushuhuda wake kwa lugha ya kiingereza kwenye makala hii iliyo katika blogu inayokusanya matukio nchini misri iitwayo egyptian chronicles.
she shares her testimony, in english, in this post on egyptian chronicles.
kwenye blogu ya caracas chronicles francisco toro anashutumu kutokuwepo kwa vyombo vya habari vya kimatafa kutangaza ghasia na matukio yanayoendelea kukua tangu februari 19.
in the blog caracas chronicles francisco toro reacts to the lack of media coverage about the escalating violence and the events on february 19.
kumbuka: tuliweza kuifahamu kazi ya eduardo kupitia makala ya francisco toro katika blogu ya kumbukumbu ya matukio ya caracas ( caracas chronicles).
this post is part of our special coverage venezuela elections 2012. note: we came across eduardo's work through a post by francisco toro in the blog caracas chronicles.
mwanablogu wa kimisri zeinobia, anayeblogu kupitia blogu ya egyptian chronicles, kadhalika anaguswa na jinsi ugonjwa utakavyosambaa wakati wa haji , ambapo mamilioni ya mahujaji kutoka sehemu mbalimbali duniani hukusanyika maka ili kutimiza nguzo hiyo.
egyptian blogger zeinobia, who blogs at egyptian chronicles, is also concerned about how the disease will spread during the hajj , where millions of pilgrims from around the world converge to mecca to perform the ritual.
mwanablogu mrwanda, negrita's chronicles, alitoa mwito kwa wasomaji wake kushiriki katika mkesha wa kitaifa wa kuwasha mishumaa ili kuwakumbuka wahanga wa mauaji. alifanya hivyo kupitia blogu yake:
rwandan blogger negrita's chronicles asked her readers to join the nation-wide candlelight vigil for the victims through her blog: