Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
jambo la mwisho kabisa tunaloweza kufikiri kulifanya ni kutuma ujumbe utakaowajaza watu hofu nchini humu.
the last thing we want is to send fear into the minds of gambians.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
madiba alisema katika safari yake ya mwisho kabisa ya kimataifa kule landani, uingereza, mwezi juni 2008:
madiba said on his last ever international visit in london, june 2008:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanablogu wa misri zeinobia anasema hukumu hii, ambayo hukumu ya mwisho kabisa inategemewa kusomwa tarehe 28 aprili, imevunja rekodi mpya ya dunia.
egyptian blogger zeinobia says this sentence, for which a final verdict is due to be issued on april 28, breaks a new world record.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mchoro wenye taarifa umekuwa ukisambaa katika majukwaa ya vyombo vya habari vya kiraia kuonyesha kwamba bolivia ni kati ya maeneo ya mwisho kabisa katika sekta ya ubora wa kasi ya mtandao barani amerika ya kusini.
an infographic that has been circulating on social media platforms shows that bolivia is among the last places in connectivity and bandwidth in latin america.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kamati ya kimataifa ya shirika la msalaba mwekundu, katika tamko lililoweka kama mahojiano na mmoja wa maofisa wake wa matunzo ya mtoto, ilisema kwamba inaamini kwamba jitihada za kuwaunganisha watoto na familia zao nchini haiti ni lazima zipewe kipaumbele, na kuasili watoto iwe ni hatua ya mwisho kabisa.
the international committee of the red cross, in a statement presented as an interview with one of its child protection officers, said it believed efforts to connect children with family members in haiti should receive priority, and adoption a last resort.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.