Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
habari njema zimeenea kuanzia uchina mpaka karibeani, kutokea fukwe za visiwa mpaka ughaibuni na kila mahala.
the good news spread from china to the caribbean, from island shores to diaspora scattered far and wide.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
tetemeko hilo, ambalo halikuathiri maeneo ya bara pekee kwa njia ya kusogea sogea kwa ardhi, kadhalika lilisababisha mawimbi ya tsunami mabyo yalizua tahadhari katika eneo zima la pasifiki huku mataifa mbalimbali yakijiandaa kwa mawimbi hayo pindi yatakapofika kwenye fukwe zao.
the earthquake, which not only affected the mainland through the ground movements, also generated tsunami waves that set out an alarm throughout the pacific as different nations prepared for the waves to hit their shores.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
guatemala ina maeneo19 ya uoto asilia, 300 yenye hali ya hewa tofauti, zaidi ya maeneo ya volkeno 37, mito, maziwa na fukwe ambavyo vinaungana na utofauti wetu wa makabila na kuifanya nchi hii kuwa ya ajabu na ya kupendeza.
guatemala has like 19 ecosystems, 300 microclimates, more than 37 volcanoes, rivers, lakes and beaches that are united in our ethnic diversity forming a destination of mystical magic and adventure.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: