Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
video ya wetipo's inategemewa kuonesha hali ngumu ya maisha inayowakabili wanawake wa papua:
wetipo's video is intended to expose the poor conditions of women in papua:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanablogu wa misri zeinobia anasema hukumu hii, ambayo hukumu ya mwisho kabisa inategemewa kusomwa tarehe 28 aprili, imevunja rekodi mpya ya dunia.
egyptian blogger zeinobia says this sentence, for which a final verdict is due to be issued on april 28, breaks a new world record.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
januari 24, ni siku ambayo inategemewa kuwa ya kuzindua rasmi hadithi, ambalo ni jukwaa la kuhifadhia zana za bure za kitaaluma mjini nairobi, kenya.
on january 24, the official launch of hadithi, a platform for hosting open access academic content will take place in nairobi, kenya.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
rasimu ya sheria hiyo bado haijakamilika lakini inategemewa kuwa serikali itafuatilia hatua hii kwa makini hasa baada ya kukaribia kushindwa kuzuia upakiaji holela kwenye simu za viganjani na kwenye intaneti wa wa picha za uchi za wanawake waliokuwa wakioga hekaluni zilizopigwa kinyume cha sheria .
the draft regulation is not yet final but it is expected that the government will seriously pursue this measure especially after it recently became almost helpless in stopping the cell phone and internet uploading of an illegally taped video of nude ladies bathing in a monastery.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: