Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
jumuiya ya mtakatifu kizito
a saintly community
Senast uppdaterad: 2019-11-29
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
jumuiya ya madola
dollar containers
Senast uppdaterad: 2020-03-08
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kwa hakika, jumuiya ya madola imepoteza umuhimu wake.
indeed, the commonwealth of nations has outlived its usefulness.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
uungwaji mkono kutoka katika jumuiya ya wanazuoni wa kimataifa
backup from international academic community
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ni kwamba baadhi ya nchi wana mapendeleo kwa jumuiya ya kimataifa?
is it that some countries have privileges for the international community?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
jumuiya ya kiarabu ina msimamo gani kuhusu viongozi wa mapinduzi haya?
what is the stance of the arab league from the leaders of this coup?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
jumuiya ya kimataifa na waangalizi wa uchaguzi wamekuwa na wasiwasi na matokeo hayo.
the international community and electoral observers were also sceptical of the results.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
tia saini tamko la jumuiya ya global voices linalodai kuachiliwa huru kwa wanablogu hao
sign the global voices community statement urging for the bloggers' release
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
al-maleh pia ni mwanzilishi mwenza wa jumuiya ya haki za binaadamu ya syria.
al-maleh is also a co-founder of the syrian human rights society.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
je, jumuiya ya wachangiaji ingependa mimi niache kuendelea kuendesha ukurasa huu?:) ~ mwendeshaji
would the community like me to step down? :) ~ the administrator
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
serikali ya uingereza, - ushauri kwa wasafiri kutoka ofisi ya mambo ya nje na jumuiya ya madola
united kingdom government, - foreign and commonwealth office advice for travellers
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
hii ni hasa ya kusikitisha kwa wakati ambao wapalestina wameunda serikali ya umoja ambayo imetambuliwa na jumuiya ya kimataifa.
this is particularly unfortunate at a moment when the palestinians have formed a unity government that has been recognized by the international community.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
jumuiya ya global voices na mtandao wetu wa marafiki na washirika tunadai kuachiliwa kwa ndugu zetu hao ambao idadi yao ni tisa.
the global voices community and our network of friends and allies are demanding the release of the nine men and women.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kimsingi siko kinyume na kitendo cha gambia kujitoa kwenye jumuiya ya madola lakini kama kawaida yahya haonyeshi mwelekeo kwa mara nyingine.
i'm not against the gambia withdrawing from the commonwealth in principle but as usual yaya is acting erratically once again. #gambia — abdou (@abs2ray) october 3, 2013
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ingawa siungi mkono vitendo vya mauaji na sera mbovu za baba jammeh, ninaunga mkono kujitoa kwake kutoka jumuiya ya madola.
although i don't subscribe to the summary executions and despotic policies of baba jammeh, i support his withdrawal from the commonwealth.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kwa jamii ya kitaifa na jumuiya ya kimataifa na vyombo vya kutetea haki za binadamu kudai usalama wa watu wanaohusika na kila msemaji wa mgomo wa kitaifa..
to the national and international community and to human rights advocate entities to demand for the safety of people taking part and every spokesperson of the national strike.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
alieleza kuhusu uhusiano wake na jumuiya ya sauti za dunia na jinsi teknolojia ya kenya inavyozidi kuwa ya ubunifu, hasa katika sekta ya vifaa vya mkononi kama simu.
he explained his connection with global voices and how kenyan technology continues to innovate, particularly in the area of mobile.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
haidhuru, kwa dhati na taadhima nakutakia sikukuu yenye furaha ya mtakatifu valentino, ikiwa uko peke yako, una mpenzi, umechumbiwa au umefunga ndoa.
so anyway, i deeply and sincerely wish you a very happy valentines day, whether you are single, dating, engaged or married.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
global voices ni jamii isiyo na mipaka, kwa sehemu kubwa jumuiya ya watu wanaojitolea yenye waandishi, wachambuzi, wataalamu wa uandishi wa mtandaoni na wafasiri wapatao 1400.
global voices is a border-less, largely volunteer community of more than 1400 writers, analysts, online media experts and translators.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
gambia, nchi ndogo ya afrika magharibi imetangaza kupitia kituo cha runinga cha taifa kwamba imejitoa kwenye jumuiya ya madola, ushirikiano wa nchi zipatazo 54 zilizowahi kuwa makoloni ya ufalme wa uingereza.
the tiny west african state of the gambia has announced via state television that it will withdraw from the commonwealth of nations, a fellowship of 54 countries that are mainly former colonies of the british empire.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: