You searched for: kidemokrasia (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

kidemokrasia

Engelska

democracy

Senast uppdaterad: 2019-02-04
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

muungano wa kidemokrasia

Engelska

united democratic alliance

Senast uppdaterad: 2021-11-14
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kadhalika alichaguliwa kidemokrasia.

Engelska

he was also chosen democratically.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia

Engelska

first democratic election

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ni nchi ya kifalme inayoendeshwa kidemokrasia.

Engelska

it is a constitutional monarchy.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

uchaguzi ujao utakuwa huru, haki na wa kidemokrasia

Engelska

soli joked about the next general election in 2015:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ninayo furaha kwamba mchakato wa kidemokrasia umesababisha niteuliwe.

Engelska

i am pleased that the democratic process has resulted in my nomination.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

nelson mandela alikuwa rais wa kwanza wa afrika kusini aliyechaguliwa kidemokrasia.

Engelska

nelson mandela was the first democratically elected president of south africa.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

nelson rolihlahla mandela alikuwa rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini afrika kusini.

Engelska

nelson rolihlahla mandela was the first democratically elected president of south africa.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

mwaka 2015 unaleta fursa kubwa kwa nchi hizi kuionesha dunia kwamba sasa zimekomaa kidemokrasia.

Engelska

2015 therefore presents a great opportunity for them to show the world that they have matured democratically.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

brazil ilikuwa ni moja kati ya nchi za kidemokrasia za kwanza kutumia mashine za umeme za kupigia kura.

Engelska

brazil was one of the first democracies of its size to use electronic voting machines.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

ni nani mbaye alitoa amri ili kuzuia mkutano wa hadhara wa kidemokrasia kutofikia nyumba ya waziri mkuu?

Engelska

who gave the order to stop a democratic rally from reaching the home of the prime minister?

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hofu ya kuyapoteza maisha yao na vitendawili vya namna watoto wao watakavyokua, vinawabana watu huko jamhuri ya kidemokrasia ya kongo.

Engelska

the fear for the loss of their own lives and the puzzles of how their children will grow, grips people in the democratic republic of congo.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

bangladeshi inaongozwa na utawala wa kidemokrasia usiofungamana na dini yoyote, kwa hiyo hakuna sheria ya sharia wala sheria ya ukashifuji wa dini.

Engelska

bangladesh is a non-religious parliamentary democracy, so there is no sharia law or blasphemy law.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

@reclaimnaija ni jukwaa pana linalojihusisha na ushirikishwaji maarufu wa wananchi wa chini katika kunadi uwazi wakati wa uchaguzi na serikali ya kidemokrasia.

Engelska

@reclaimnaija is a broad based national platform for popular, grassroots engagement in promoting electoral transparency and democratic government.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

februari 9 ingeweza kwenda kwenye historia kama siku ambapo hatua za kidemorasia za kisiasa zilichukuliwa kuifanya naijeria kupiga hatua moja bele kuelekea kwenye njia ya kufanyika taifa la kidemokrasia ya kweli.

Engelska

february 9th could possibly go down in history as a day when democratic political measures where used to take nigeria one step further down the path to becoming a true democratic nation.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

katika nchi pekee ya kidemokrasia katika eneo la mashariki ya kati, waandamanaji wa amani wanakanyagwa, wanapigwa na kukamatwa kwa sababu walijaribu kutumia haki yao ya kidemokrasia ya kuandamana.

Engelska

in the only democracy in the middle east, peaceful protesters get run over, beaten and arrested because they attempted to exercise their democratic right to protest.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

jibu litafafanua uelekeo wa serikali iliyopo madarakani na utayari wake kwa rakhine na uwepo wa umoja wa kidemokrasia—- ambapo kila msichana anaweza kupata elimu bure na haki sawa kutoka kwenye taasisi.

Engelska

the answer will explain the present government's direction and its commitment to rakhine and the survival of democratic union—where every girl can freely get education and equal rights from the institution.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

bila ya mwanga wake kuongoza, ni vigumu kufikiria jinsi harakati ya kidemokrasia itakavyokumbwa na changamoto nyingi zijazo wakati huu wa kidemokrasia mpito usiotabiriki, ambapo bado kuna mbwa mwitu wengi waliovaa mavazi ya kondoo.

Engelska

without his guiding light, it’s hard to imagine how the democracy movement will treat the many challenges ahead during this unpredictable democratic transition, where there are still many wolves in sheep’s clothing.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

lengo la zapp ni kuwahusisha raia, watawala walio bungeni na serikalini, kwenye sekta za umma na zile binafsi katika kutengeneza muelekeo wa sera kwa pamoja na kuhakikisha maamuzi yanayofanywa katika ngazi zote yanaakisi matakwa ya watu wa zambia kuongozwa kwa mujibu wa kanuni za kidemokrasia.

Engelska

the mission of zapp is to engage citizens, leaders in parliament and government, public and private sectors in jointly setting policy direction and ensuring decisions made at all levels reflect the will of the zambian people to be governed according to democratic tenets.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,783,781,391 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK