Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
sisi ni kitu kimoja.
we are all one.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
waumini wote waliendelea kuwa kitu kimoja na mali zao waligawana pamoja.
and all that believed were together, and had all things common;
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
yote yanazungumzia kitu kimoja: kwamba kuna hali ya wasiwasi na mashaka inayotawala.
they are all saying more-or-less the same thing; that there is uncertainty and anxiety in the air.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: wewe unayachukia wanayoyatenda wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.
but this thou hast, that thou hatest the deeds of the nicolaitans, which i also hate.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mimi nimewapa utukufu uleule ulionipa mimi, ili wawe kitu kimoja kama nasi tulivyo mmoja;
and the glory which thou gavest me i have given them; that they may be one, even as we are one:
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wakatuomba lakini kitu kimoja: tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi kutekeleza.
only they would that we should remember the poor; the same which i also was forward to do.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
tuonyesheni, enyi viongozi wa malaysia kwamba sisi tu kitu kimoja kwa namna zote zinazoshirikisha matumizi ya msala!!!!
show us, leaders of malaysia that we are one in all ways inclusive in the use of toilet!!!!
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kitu kimoja tu ni muhimu. maria amechagua kitu bora zaidi ambacho hakuna mtu atakayemnyag'anya."
but one thing is needful: and mary hath chosen that good part, which shall not be taken away from her.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
azadi esteghlal edalat anatoa wito kwa raia wa iran ili waungane na kuwa kitu kimoja na kuugeuza mkutano wa nam kuwa wa kuutetemesha utawala wa nchi hiyo.
azadi esteghlal edalat calls iranians to become united with one voice and turn the nam summit into a nightmare for the regime.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
paulie wleh, muuguzi mnasihi wa kituo cha vijana cha ymca mijini monrovia, anasema kitu kimoja ambacho waliberia vijana leo wanakihitaji ni elimu kuhusu afya ya ngono.
pauline wleh, a nurse counselor at a monrovia-based ymca youth centre, says one thing young liberians today need is education regarding sexual health.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
yeye akajibu, "kama ni mwenye dhambi mimi sijui. lakini kitu kimoja najua: nilikuwa kipofu, na sasa naona."
he answered and said, whether he be a sinner or no, i know not: one thing i know, that, whereas i was blind, now i see.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
@blakehounshell: kitu kimoja ambacho romney na obama wanaonekana kukubaliana: kuindoa bahrain katika orodha ya mapinduzi ambayo marekani inayaunga mkono.
@blakehounshell: one point romney and obama seem to agree on: leaving bahrain off the list of revolutions america supports.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
basi, nilikuwa nikitafiti mtandaoni kitu kimoja au kingine nikakutana na ujumbe kuhusu ripota aliyekuwa saudia ambaye ni mwanamke na hivyo hakuruhusiwa kukaa kwenye sehemu ya wanaume ndani ya mgahawa wa starbucks.umm boo hoo hoo.
so i was googling one thing or another when i found a post about the abject horror of a reporter in saudi who was female and was therefore not permitted to stay in the men's section of starbucks, umm boo hoo hoo.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
sisi tunajivunia kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia kwamba tumeishi ulimwenguni hapa, na hasa kati yenu, kwa unyenyekevu na unyofu tuliojaliwa na mungu; hatukuongozwa na hekima ya kibinadamu bali neema ya mungu.
for our rejoicing is this, the testimony of our conscience, that in simplicity and godly sincerity, not with fleshly wisdom, but by the grace of god, we have had our conversation in the world, and more abundantly to you-ward.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
yesu aliposikia hayo akamwambia, "unatakiwa bado kufanya kitu kimoja: uza kila ulicho nacho, wagawie maskini, na hivyo utakuwa na hazina yako mbinguni; halafu njoo unifuate."
now when jesus heard these things, he said unto him, yet lackest thou one thing: sell all that thou hast, and distribute unto the poor, and thou shalt have treasure in heaven: and come, follow me.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
yesu akamtazama, akampenda, akamwambia, "umepungukiwa na kitu kimoja: nenda ukauze vitu ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate."
then jesus beholding him loved him, and said unto him, one thing thou lackest: go thy way, sell whatsoever thou hast, and give to the poor, and thou shalt have treasure in heaven: and come, take up the cross, and follow me.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering