Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
unaweza pia kucheleweshwa kwa saa kadhaa baada ya kuwasili ili kuangaliwa hali joto na taratibu na fomu husika, au hata kukarantani kwa wiki mbili.
you might also be delayed for hours upon arrival waiting for temperature checks and related procedures and paperwork, or even get quarantined for two weeks.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hatari ya kukwama katika mji wa kuunganisha safari iko juu kuliko kawaida wakati huu, kwa sababu ya kucheleweshwa na kupimwa na hata pia kughairishwa kwingi.
the risk of getting stuck in the connection city is higher than usual right now, due to delays for screening and testing as well as extensive cancellations.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
@muradalhaiki: kadri ufumbuzi wa kisiasa unavyozidi kucheleweshwa, na ndivyo masuala yanavyozidi kuwa magumu na ndivyo inavyozidi kuwa vigumu kuyatatua.
@muradalhaiki: the more a political solution is delayed, the more complicated matters get and more difficult it is to solve them.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kwanza, data hii ni ya awali na uchanganuzi wake ulikuwa na vizuizi kutokana na kukosekana kwa data inayohusiana na idara ya afya kuripoti mzigo unaohusiana na idadi ya visa inayoendelea kukua na kucheleweshwa kukamilishwa kwa maelezo yanayohitaji ukaguzi wa chati ya kimatibabu; matokeo haya yanaweza kubadilika data ya ziada ikiendelea kupatikana.
first, these data are preliminary, and the analysis was limited by missing data related to the health department reporting burden associated with rapidly rising case counts and delays in completion of information requiring medical chart review; these findings might change as additional data become available.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kucheleweshwa kumetia dosari uchaguzi wa naijeria (news.bbc.co.uk) uchaguzi wa namibia unatarajiwa kukirejesha chama madarakani (seattletimes.nwsource.com) umoja wa wanademokrasia kwa ajili ya mageuzi katika uchaguzi (coder) – naijeria (africaunchained.blogspot.com) kampeni za uchaguzi zacheleweshwa nchini iraki (online.wsj.com) makala nyingine mpya 5....
delays mar nigeria regional poll (news.bbc.co.uk) namibia vote expected to return party to power (seattletimes.nwsource.com) coalition of democrats for electoral reforms (coder) -nigeria (africaunchained.blogspot.com) iraq election campaigns delayed (online.wsj.com)
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: