Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
kiasi cha fedha kilichokatwa kwenye atm ni tshs
the time that the transaction took place
Senast uppdaterad: 2019-10-15
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
tafadhali husika na kichwa cha somo tajwa hapo juu
please refer to the title of the above mentioned subject
Senast uppdaterad: 2023-09-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kampuni imeuza gari tajwa hapo juu
relevant to the headline above
Senast uppdaterad: 2020-02-13
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kila jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha kadiri ya mapato yake, ili kusiwe na haja ya kufanya mchango wakati nitakapokuja.
upon the first day of the week let every one of you lay by him in store, as god hath prospered him, that there be no gatherings when i come.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
taarifa zinazohitajiwa kimsingi ni nyaraka za kifedha na kiutawala, ikiwa ni pamoja na, kiasi cha fedha kilichopokelewa na mashirika hayo kutoka nje ya nchi.
the type of information requested is essentially all financial and administrative documents, including, of course, the money received by the organization from abroad.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kiasi cha fedha kinachokadiriwa kufikia dola za kimarekani milioni 45 zinahitajika ili kurekebisha na kujenga upya makazi na miundombinu, ambapo nchi inajiandaa kukabiliana na hasara hiyo.
with estimates running as high as $45 billion for reconstruction and rebuilding, the country prepares to cope with the losses.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kwa nyongeza, tangu mwaka 2012, mfumo wa malipo ya uzeeni wa china umekuwa katika mgogoro kwani umekabiliwa na upungufu wa kiasi cha fedha cha dola za marekani trilioni 2.9.
moreover, since 2012, china’s pension system has been in crisis with a shortfall of 2.9 trillion us dollars.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
katika makala iliyochapishwa mwezi machi, wachumi william easterly na yaw nyarko wanaeleza kwamba katika nchi zilizo chini ya jangwa la sahara, kiasi cha fedha kinachotumwa na wahamiaji wanaotoka bara hilo ni wastani wa asilimia 81 ya misaada ya fedha kutoka nchi za kigeni kwa kila nchi.
in an article published in march, economists william easterly and yaw nyarko noted that in sub-saharan africa, remittances (money sent by immigrants abroad back to their home countries) on average amounted to 81 percent of the foreign aid received by an individual country.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
nikasikia kitu kama sauti itokayo kwa vile viumbe hai vinne. nayo ilisema, "kibaba kimoja cha unga wa ngano wa kiasi cha fedha dinari moja, na vibaba vitatu vya shayiri kwa dinari moja. lakini usiharibu mafuta wala divai!"
and i heard a voice in the midst of the four beasts say, a measure of wheat for a penny, and three measures of barley for a penny; and see thou hurt not the oil and the wine.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
henry mwampaya, s.lp 27 mbozi songwe, 05 02 204. yah: kumdhamini ndugu modester henry mwampaya. rejea kichwa cha habari apo juu. mimi henry mwampaya ni mzazi wa ndugu tajwa hapo juu, naomba kumdhamini modester henry mwampaya ambaye ni mfanyazi katika ka
henry mwampaya, s.lp 27 mbozi songwe, 05 02 204. yah: to sponsor brother modester henry mwampaya. look at the top of the story. i henry mwampaya is the parent of the brothers mentioned above, may i sponsor modester henry mwampaya who is a businessman in ka
Senast uppdaterad: 2024-02-05
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
katika ukaguzi mwaka wa 2016 wa dawa 106 zilizoteuliwa na kutathminiwa kupitia vipimo vya kliniki, matumizi ya jumla ya mtaji kwa mtengenezaji mwenye dawa ilidhibitishwa kupitia vipimo vilivyofaulu vya awamu ya iii yalikuwa dola bilioni 2.6 (kwa dola za mwaka wa 2013), kiasi cha fedha kinachoongezeka kwa kiwango cha kila mwaka cha asilimia 8.5.
in a 2016 review of 106 drug candidates assessed through clinical trials, the total capital expenditure for a manufacturer having a drug approved through successful phase iii trials was $2.6 billion (in 2013 dollars), an amount increasing at an annual rate of 8.5%.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
tafadhari rejea katika kichwa cha habari tajwa hapo juu chajieleza wazi wazi.nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu cha dodoma (udom) katika shahada ya kwanza ya elimu ya awali.mbali na shahada yangu ya kwanza ya elimu ya awali,pia nimeweza kujifunza vizuri na kuhusu mambo ya education career guidance and counseling, psychology, children's rights,ukatili wa kijinsia na vitendo viovu vinavyomnyima mwanadamu haki yake,vile ninayo maarifa kuhusiana na mambo ya jinsia na mengine mengi.nasikia shauku
please refer to the above article that makes it clear. i have completed my studies at the university of dodoma (udom) in a bachelor's degree in pre-school. in addition to my undergraduate degree, i have also been able to learn well and about education career guidance and counseling, psychology, children's rights, sexual violence and evil practices that deny man his rights, and i have knowledge about gender and more. i'm feeling passionate
Senast uppdaterad: 2024-04-19
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens: