Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
silaha ambazo waislam watazitumia kuteka nyara zaidi raia wa magharibi na kuwaua waafrika wengi.
weapons with which the islamists will kidnap more westerners and murder many africans.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanzoni nilifikiri anataka kuteka gari, au alitaka kunifanya nijisikie wasiwasi kwa kuingia kwenye gari?
i initially thought he wanted to do a carjacking, or was he just trying to make me uncomfortable by getting into the car?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
basi, mwanamke mmoja msamaria akafika kuteka maji. yesu akamwambia, "nipatie maji ninywe."
there cometh a woman of samaria to draw water: jesus saith unto her, give me to drink.
Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
yemen iko kwenye mzozo wa kisiasa, bila kuwa na rais wala serikali, tangu waasi wa houthi kuangusha taasisi za kiserikali na kuteka ikulu kwenye mji mkuu wa sanaa.
yemen is in political limbo, without a president and government, since the houthi militias took over government institutions and the presidential palace in capital city sanaa.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanasheria anayeheshimika na mhadhiri kwenye chuo kikuu cha ghana, kitivo cha sheria, dr. raymond atuguba ameonyesha kwa umakini jinsi wanamgambo wa eneno la delta ya naija, wanaojulikana kwa ukorofi wa kulipua mabomba ya mafuta, kuteka watu nyara na kudai dhamana kubwa na kusababisha vurugu kwenye eneo lenye utajiri wa mafuta nchini naijeria wameanza kuingia ghana kwa makundi.
a respected legal practitioner and lecturer at the university of ghana, law faculty, dr. raymond atuguba has chillingly revealed that militants in the niger delta region, notorious for blowing up oil pipes, kidnapping and demanding huge ransoms and causing unrest in the oil rich nigerian region have started tripping to ghana in droves.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: