Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
inasemekana kuwa hayo ndiyo yalikuwa mauaji ya kwanza ya kimbari katika karne ya 20.
it is considered the first genocide of the 20th century.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kutokana na malalamiko niliyoyaona, ninajiuliza ni jinsi gani sisi kama wa-khmer tunaweza kuishi katika karne ya 21.
judging from the complaints, i wonder how we as khmer will be able to make it in the 21st century.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kwa mtu aliyekufa mwaka 1981 na kuendelea kutawala akili za watoto wanaonekana kuwa na akili tena wa karne ya 21 ni jambo gumu kuamini.
for someone who died in 1981 to brainwash smart kids of 21st century is so unbelievable.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
katika mada yake hiyo, agrawal alisema kwamba “mabadiliko ya hali ya hewa yatakuwa nguzo muhimu katika kufafanua upya dhana ya maendeleo katika karne ya ishirini na moja.
in his paper, agrawal stated that “climate change will be pivotal in redefining development in the twenty-first century.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
elimu katika karne ya 21 yahitaji kushughulikia masuala ambayo hayakuwa bayana siku za nyuma, kama vile wapi unapotaka kuishi au kufanya kazi, kwa kutumia lugha gani au kwa utamaduni upi unaweza kujisikia vyema, unawezaje kujenga maisha yako ya kazi mara kadhaa,...
the 21st century educations demands posing again some issues that were not evident in the past, as where do you want to live or work, with what languages or with what cultures you'l be more comfortable of related, how will you professionally rebuild your working life several times,...
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
jukwaa la sayansi duniani (wsf) linajumuisha mamia ya wanasayansi kutoka duniani kote wiki hii nchini brazil, kujadili wajibu wao katika karne ya 21 na kusisitiza umuhimu wa ushauri wa kisayansi katika maamuzi ya kisiasa na kiuchumi.
the world science forum (wsf) gathers hundreds of scientists from all around the world this week in brazil, to discuss their role in the 21st century and to emphasize the importance of scientific advice in political and economical decisions.
Senast uppdaterad: 2024-04-11
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
wasomaji wengi wa daily star watakuwa wakitegemea kwamba kampeni ya #bdsp itasababisha mabadiliko kwenye jarida husika, kuigeuza ile boti ya moshi ya kirusi ya miaka ya 1920” kuwa boti ya kisasa ya karne ya 21.
many daily star readers will be hoping that the #bdsp campaign will prompt a change at the daily star, turning the "1920's russian steam boat" into a 21st century cruise liner.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
historia fupi ya tafsiri ya mashine matumizi ya kamusi ya mitambo ya kumaliza vizuizi vya lugha yalipendekezwa kwanza katika karne ya 17. descartes zote mbili na leibniz imeainishwa juu ya uundaji wa kamusi kwa msingi wa nambari za nambari za ulimwengu. mfano halisi ulichapishwa katikati mwa karne na cave beck, athanasius kircher na johann becher. utiaji msukumo ulikuwa harakati ya 'lugha ya ulimwengu wote', wazo la kuunda lugha isiyoeleweka kulingana na kanuni za kimantiki na
brief history of machine translation the use of mechanical dictionaries to overcome barriers of language was first suggested in the 17th century. both descartes and leibniz speculated on the creation of dictionaries based on universal numerical codes. actual examples were published in the middle of the century by cave beck, athanasius kircher and johann becher. the inspiration was the ‘universal language’ movement, the idea of creating an unambiguous language based on logical principles and
Senast uppdaterad: 2019-12-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.