Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
ninashangaa kwa nini watu wanataka afukuzwe kazi –kufukuzwa hakutatui tatizo.
i wonder why people are asking for sacking-sacking doesn't solve the problem.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
akiandika kwa kiarabu, mwanablogu wa kisudani ayman hajj anajadili siasa za nchi yake na kwa nini watu wengi wa sudani wanapoteza imani katika umoja.
writing in arabic, sudanese blogger ayman hajj discusses his country's politics and why many sudanese people are losing faith in unity.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mimi sijiamini na najihisi kuwa mtu duni: kwa nini watu wanaonizunguka wawe na mafanikio, wakati mimi sina kitu?
i have an inferiority complex: why is it that the people around me are so successful, yet i can accomplish nothing?
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
watu wengi wanauliza ni nini kilichotokea katika masaa ya mwanzo baada ya ajali na ni kwa nini ilichukua muda mrefu kuanza kutoa taarifa za ajali hiyo.
many people ask what happened during the first hours after the crash and why it took so long to start reporting on it.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
watanzania sasa wanajiuliza hivi kwa nini watu wa kawaida nchini humo wasiwe kama wenzao wa kenya, yaani, wanawatazama kama watu wenye mwamko mkubwa sana katika kudai haki zao kiasi cha kuwa tayari kuzipigania.
tanzanians are now asking why ordinary folks in their country cannot be like kenyans who to them appear to be very much aware of their rights and willing to fight for them.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
na adel salib anashangaa ni kwa nini watu wanapatwa na mshituko kufuatia kushambuliwa kwa waumini wa shia huko misri wakati kabla ya hapo polisi waliwashambulia na kuwaua wakristo wazawa wa misri:
and adel salib wonders why people are shocked that the shia are being attacked in egypt when the police previously attacked - and killed - egyptian copts:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
la, fikiria vitu rahisi kama kufungua ukurasa katika mtandao wa facebook, umuhimu wa kujiunga na mitandao ya twita na facebook, namna ya kuwatafuta watu wengine wanaotumia mtandao wa twita nchini kwako na kufahamu sababu ya kwa nini wanafuatiliwa na watu wengi na kwa nini na kipi cha kufanya ili upate wafuasi wengi.
no, think basics on how to set up a facebook page, why it is important, why you should be on twitter, looking for other people in your country on twitter and seeing why they have so many followers and why or what you should do to get followers.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Vissa mänskliga översättningar med låg relevans har dolts.
Visa resultat med låg relevans.