You searched for: lakini pale ambapo (Swahili - Engelska)

Datoröversättning

Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.

Swahili

English

Info

Swahili

lakini pale ambapo

English

 

Från: Maskinöversättning
Föreslå en bättre översättning
Kvalitet:

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

ni pale ambapo wagonjwa hutibiwa

Engelska

it is where patients are treated

Senast uppdaterad: 2024-05-11
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kuna tatizo pale ambapo si wanafunzi wala walimu wameandaliwa kubadilika kutoka kiswahili kwenda kiingereza katika shule ya sekondari.

Engelska

there is a problem when neither students not teachers are equipped to make the switch from swahili to english in secondary school.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

"lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaja, akasema, bwana, najua wewe ni mtu mgumu; wewe huvuna pale ambapo hukupanda, na kukusanya pale ambapo hukutawanya.

Engelska

then he which had received the one talent came and said, lord, i knew thee that thou art an hard man, reaping where thou hast not sown, and gathering where thou hast not strawed:

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

katika suala hili, jambo hili linaonekana kuwa ni geni pale ambapo mwanablogu kutoka katika kisiwa hiki kuanzisha kampeni za mtandaoni.

Engelska

in this particular case, the novelty resides in the fact a blogger from the island has initiated an online campaign.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

nia yangu imekuwa daima kuihubiri habari njema popote pale ambapo jina la kristo halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Engelska

yea, so have i strived to preach the gospel, not where christ was named, lest i should build upon another man's foundation:

Senast uppdaterad: 2012-05-06
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

lakini pale vyombo vya habari visipoonyesha picha za wanawake walioshiriki, inaonekana kana kwamba hawajajikita kwenye mapinduzi; wanatolewa nje ya historia.

Engelska

but when the media doesn’t show images of women involved, it appears as if they aren’t entrenched in rallying revolutions; they are written out of history.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

bado, hata hivyo pale ambapo shauku kwa vyombo vikuu vya habari ikindelea kupungua, sisi ndio tunaojibidiisha kuendelea kuweka kumbukumbu ya kile ambacho wanablogu wadogo popote pale walipo wanataka dunia ikifahamu.

Engelska

still, where mainstream media interest wanes, we're the ones who strive to continue documenting what local bloggers everywhere need the world to know.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa nyumbani ni pale unapoweza kupata mtandao huru wa intaneti. naweza kusema kuwa nyumbani ni pale ambapo mishahara yako imehamishiwa.

Engelska

some people say home is where your bed is, others argue that home is where your wifi connects automatically. i can say that home is where your salaries have been transferred to

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

pale ambapo afisa aliyeidhinishwa ana sababu ya kuamini kwamba, vifaa vyovyote vya uvuvi, chombo, samaki au bidhaa ya samaki imeachwa kwa madhumuni ya kuzuia mashtaka, atatuma ombi kortini kwa amri ya kutupa chombo cha gia, samaki au bidhaa ya uvuvi.

Engelska

any person, who contravenes the provisions of this act other than those with specified penalties, upon conviction shall be liable to a fine of not less than one hundred thousand shillings and not more than one million shillings or to imprisonment for a term of not less than two years and not more than five years or to both such fine and imprisonment.

Senast uppdaterad: 2021-07-01
Användningsfrekvens: 2
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

wakati utamaduni wa mapinduzi katika mataifa mengi ni utamaduni uliopitwa na wakati (kama vile syria hakujapata kutokea mapinduzi kwa miongo kadhaa sasa) baadhi ya mataifa yanapendelea mitindo ya kizamani, rejea pale ambapo ianonekana palikuwa na mapinduzi kama juma moja lililopita sehemu fulani hapa duniani.

Engelska

whereas coup culture in a lot of countries is a thing of the past (e.g., syria ain't had a coup in a few decades) some countries like to kick it old skool, harking back to when it seemed like there was a coup-a-week somewhere in the world.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

msifu mungu na mwombe amruhusu binti huyu mdogo kuja gaza ... anashindwa kuja kwa sababu ya ugumu wa kupata kibali cha ukaazi nchini libya, na jambo hilo lina maana kwamba hawezi kuwa na uhakika wa kurudi pale ambapo baba yake ambaye naye ni mtu aliyeyakimbia makazi yake - hana namba ya kitambulisho - na ndivyo walivyo wengine wote kwenye familia yake.

Engelska

praise god and ask him to allow her to come to gaza… she is unable to come because of the difficulty of getting residence in libya, which means she cannot be sure of returning there where her father who is a displaced person – he does not have an identity number – and the rest of her family are.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,782,395,451 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK