Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
kabla ya jukumu linaloweza kuambukiza bakteria, na
before an aseptic task, and
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
na polisi wanapokuwa kazini, tutabaki hapa, kwa tahadhari ya lolote linaloweza kutokea.
and when the police be to the task, we shall remain here, just in case.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
baadhi ya wadau wanasema kuwa lugha iliyotumika katika mswada haieleweki, jambo linaloweza kuleta tafsiri tofauti na ile iliyokusudiwa.
some players argue that the language of the draft is not understandable, an issue that can lead to various kinds of misinterpretation.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
daniel mclaughling alijibu makala hiyo akihoji kwamba kumaliza ukiritimba katika huduma ya umeme ndilo haswa suluhisho linaloweza kuleta matokeo yanayoeleweka:
daniel mclaughling reacted to his post arguing that abolishing national monopolies on electrical utilities is the only solution capable of producing results:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
aliendelea, "na hatujawahi kuona janga kubwa linaloweza kudhibitiwa kwa wakati mmoja."
he continued, "and we have never before seen a pandemic that can be controlled at the same time."
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
kinachonishangaza ni kwamba walitumia mfumo wa kitabu kama hoja ya kufanyia maamuzi yao, jambo linaloweza kuwa na mantiki kwa kipindi cha nyuma, lakini leo, ninaona huu ni sawa na upuuzi.
what struck me was that they used the format as an argument to reinforce their decision, which maybe could have made sense at some point in the past, but nowadays, i find it completely absurd.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kama hawa jamaa wanamaanisha kwa dhati kutatua tatizo la umeme barani afrika, ni lazima wapiganie suluhisho pekee linaloweza kuleta matokeo halisi: kuachana na ukiritimba wa huduma ya umeme.
if people are serious about solving africa’s electricity problem, they should be promoting the only solution capable of producing real results: abolish national monopolies on electric utilities.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
lakini hakuna linaloweza kusaidia dhidi ya kanuni za newton wakati dazeni za tani za vyuma zinaposimama mara moja wakati zikiwa katika mwendo wa kasi – ni bahati tu… kwa hiyo nilikuwa na bahati tu.
but nothing can help against the newton's laws when dozens of tons of metal suddenly stop at high speed - just luck ... ...therefore i was just lucky.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
umuhimu wa mijadala hii ya mtandaoni itakuwa kuwawezesha raia kuchangia mawazo katika sera na maamuzi ya bunge na serikali kwa ujumla na kutengeneza jukwaa kwa mijadala ya masuala ya msingi inayoendeshwa na raia wenye uelewa wa masuala ya kisiasa, watawala katika jamii na wataalam na hivyo kuliwezesha kundi kufinyanga wazo linaloweza kutumika katika ufikiwaji wa maamuzi ya serikali.
the essence of these online debates shall be to enable citizens make input into parliamentary and government’s policy and decision-making and provide a fora for issue-based discussion by politically-minded citizens, leaders in our communities and experts thus enabling the group to mold an opinion and influence decision-making.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
hata hivyo, kutokana na kiwango cha juu cha visa vya ugonjwa uliopo kutopatikana kupitia vipimo, jambo linaloweza kueneza janga hili, ishara za kimatibabu zilianza kutumika kwa ajili ya upimaji (ambayo haitegemei tena rt-pcr pekee) nchini china mnamo tarehe 13 februari 2020.
however, due to the high false-negative rate, which may accelerate the epidemic, clinical manifestations started to be used for diagnosis (which no longer solely relied on rt-pcr) in china on february 13, 2020.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: