You searched for: madhila (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

madhila

Engelska

abasement

Senast uppdaterad: 2020-02-07
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

wala vumbi halitawafunika nyuso zao, wala madhila.

Engelska

neither dust nor abasement shall overcast their faces.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

wengi wao wanakabiliana madhila ya kutengwa, kupuuzwa na upweke.

Engelska

many of them face isolation, neglect and loneliness.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa wafanyao wema ni wema na zaidi. wala vumbi halitawafunika nyuso zao, wala madhila.

Engelska

for the people of virtue, is goodness and more than that; and neither will the blackness nor disgrace come upon their faces; it is they who are the people of paradise; they will abide in it forever.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

na wale walio chuma maovu, malipo ya uovu ni mfano wake vile vile, na yatawafika madhila.

Engelska

and those who have earned evil deeds, the recompense of an evil deed is the like thereof, and humiliating disgrace will cover them (their faces).

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa wale waliotufunga gerezani na ambao walitusababishia madhila haya, hata kama hautuombi msamaha, sisi hatuna kinyongo.

Engelska

to our incarcerators who gave us those ordeals, even if you are not asking us for forgiveness, here we are.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

hakika wale walio muabudu ndama, itawapata ghadhabu ya mola wao mlezi na madhila katika maisha ya dunia.

Engelska

(the lord said), "those who worshipped the calf will be afflicted by the wrath of their lord and disgraced in their worldly life.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering

Swahili

hakika wale walio muabudu ndama, itawapata ghadhabu ya mola wao mlezi na madhila katika maisha ya dunia. na hivi ndivyo tunavyo walipa wazushi.

Engelska

'surely those who took to themselves the calf -- anger shall overtake them from their lord, and abasement in this present life; so we recompense those who are forgers.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

kwa namna utakavyofanya, unaweza kuonesha namna unavyoguswa na madhila wanayoyapata watoto wa syria, na unaweza pia ukapaza sauti yako ili umoja wa mataifa utimize wajibu wake katika kulinda haki za watoto wa syria wanaodhalilishwa nchini mwao.

Engelska

with your responsible actions, you can show your compassion and you can raise your voice so that the united nations fulfills its roles towards protecting the rights of children abused in syria.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

nashkur mungu wangu kwa kuniamsha siku ya leo siku ilojaa furaha kwangu na familia yangu siku amabyo imebeba mengi sana yanayohusu maisha yangu yarabby kwa kupitia siku yangu hii nakuomba uniepushe na madhila na mabay ya dunia uniongoze katika dini yako tukufu ya uislamu unijaalie mume wa halali na awe mwema anipende mm na familia yangu ambae atanistahamilia madhaifu yangu na unisameh makosa yangu yote yasiri na dhahir nilofany kwa kukusudia na kutokusudia na unijaalie mwisho mwema

Engelska

nashkur my god for waking me up today is a day full of joy for me and my family a day that has carried so much about my yarabby life through my day i ask you to keep me from the evils and evils of the world lead me in your glorious religion of islam grant me a lawful husband and be good love me mm and my family who will bear my weaknesses and forgive me all my secret and obvious mistakes i made intentionally and unintentionally and give me a happy ending

Senast uppdaterad: 2021-11-09
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Swahili

pamoja na madhila yaonekanayo katika filamu hii, mcallister bado anaitazama filamu hii kama yenye kuleta matumainin makubwa: “nafikiri ujumbe wa matumaini upo kwenye ujasiri usio na kificho— ujasiri ulio dhahiri wa familia moja, ambao kila mwanafamilia ameupitia.”

Engelska

in spite of the suffering it shows, mcallister still sees his film as ultimately optimistic: “i think the message of hope is in the defiance — the defiance of one family, who have all pulled through.”

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Referens: Anonym

Få en bättre översättning med
7,779,435,407 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK