You searched for: marwa (Swahili - Engelska)

Mänskliga bidrag

Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.

Lägg till en översättning

Swahili

Engelska

Info

Swahili

marwa

Engelska

marwa

Senast uppdaterad: 2024-06-20
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

misri: haki ya kijerumani kwa marwa el sherbini

Engelska

egypt: german justice for marwa el sherbini · global voices

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hakika vilima vya safaa na marwa ni katika alama za mwenyezi mungu.

Engelska

behold! safa and marwa are among the symbols of allah.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

kwa hivyo basi, ni leo hii marwa na mwanawe ambaye alikuwa hajazaliwa wanaweza kupumzika kwa amani baada ya malipo kwa muuaji.

Engelska

for that matter, only today marwa and her unborn baby can rest in peace after compensating from the killer.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

hakika vilima vya safaa na marwa ni katika alama za mwenyezi mungu. basi anaye hiji kwenye nyumba hiyo au akafanya umra, si kosa kwake kuvizunguka.

Engelska

safa and marwah are among the symbols set up by god; there is nothing wrong if anyone goes on a pilgrimage to the house, or performs a minor pilgrimage, in walking to and fro between them.

Senast uppdaterad: 2014-07-03
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

zeinobia aliifurahia hukumu, naye pia aliandika kuwajibu wale ambao waliamini kuwa hukumu ile ilikuwa ni ya kisiasa, na kuwa mahakama ya ujerumani ilitoa hukumu inayomnufaisha marwa ili kuwaridhisha wamisri na waarabu:

Engelska

zeinobia was happy with the verdict, and she also wrote in response to those who believed that it is a political verdict, and that the german court ruled in favour of marwa in order to please the egyptians, and arabs:

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

naam, kwa heshima yangu yote nilikwishasema hapo awali na nitasema tena; usimfikirie marwa kama mwanamke wa kiislamu; mfikirie kama mwanamke mjamzito na mama ambaye kwa yakini alichomwa visu mara 18 mbele ya mwanawe mdogo wa kiume.

Engelska

well with my all respect i said it before and will say it again; do not think of marwa as a muslim woman; think of her as a pregnant woman and a mother who was brutally stabbed 18 times in front of her little boy.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Swahili

baada ya karibu miezi mine na nusu, mkasa wa marwa el-sherbini umefikia hitimisho la namna fulani baada ya mahakama ya ujerumani kumhukumu kifungo cha maisha bila uwezekano wa kuachiwa mapema mtu aliyemchoma visu “shahidi aliyevaa shela” mara 17 ndani ya mahakama mnamo mwezi julai.

Engelska

after nearly four and a half months, the marwa el-sherbini saga has come to a conclusion of sorts after a german court sentenced the man who stabbed the “veiled martyr” 17 times inside the court in july to life in prison without possibility of early release.

Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:

Få en bättre översättning med
7,799,788,750 mänskliga bidrag

Användare ber nu om hjälp:



Vi använder cookies för att förbättra din upplevelse. Genom att fortsätta besöka den här webbplatsen godkänner du vår användning av cookies. Läs mer. OK