Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
enrique aranda ochoa anafikiria kuihamishia kesi yake katika mahakama ya amerika inayoshughulikia maswala ya haki za binadamu.
enrique aranda ochoa plans to take his case to the inter-american court of human rights.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
maswala ya faragha yamedokezwa, haswa kuhusu mifumo ambayo inategemea kufuatilia eneo la kijiografia la watumiaji wa programu.
privacy concerns have been raised, especially about systems that are based on tracking the geographical location of app users.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mwanablogu, the lost aborigine anawahimiza viongozi walipe kipaumbele swala la mafuriko zaidi ya maswala mengine ya mambo ya nje:
the lost aborigine urges leaders to prioritize the flooding issue over other foreign matters:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
mtanganzaji wake ambaye ni muigizaji na mtengeneza filamu wa bollywood, aamir khan anaweka wazi miiko na maswala mengine motomoto ya kijamii ambayo yanawavutia na kuwanasa wahindi wengi.
its anchor bollywood actor and filmmaker aamir khan is bringing out on the table taboo and sensational social issues which are engaging more and more indians.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
kukabiliana na idadi kubwa ya mimba zisizo tarajiwa na elimu ya maswala ya uzazi haina budi kuanzishwa mashuleni na ni lazima kuwe na maeneo maalum ambayo kondomu pamoja na dawa za uzazi wa mpango zitakuwa zinatolewa bila malipo badala ya kukataza utoaji wa mimba.
to fight the high numbers of unwanted pregnancies, sex education should be introduced in schools and there must be places where condoms and oral contraceptives are disseminated free of charge, instead of putting a ban on abortions.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet: