Att försöka lära sig översätta från mänskliga översättningsexempel.
Från professionella översättare, företag, webbsidor och fritt tillgängliga översättningsdatabaser.
gari mbovu
corrupt machinery
Senast uppdaterad: 2023-07-20
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
barabara mbovu
lack of infrastructure
Senast uppdaterad: 2021-05-27
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
simu yangu ni mbovu
saa mbovu kuna muda husema kweli
Senast uppdaterad: 2020-12-02
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
simu yangu camera mbovu
infinix spark 5
Senast uppdaterad: 2022-05-12
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
simu yangu camera mbovu infinix hot 9 play
my phone camera evil infinix hot 9 play
Senast uppdaterad: 2023-03-03
Användningsfrekvens: 2
Kvalitet:
Referens:
nabil omar alilalamikia usimamizi mbovu wa mali asili kama tanzanite:
nabil omar complained about mismanagement of natural resources such as tanzanite:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ninawatakia watu wote uhuru kutoka kwenye ufisadi na utawala mbovu #africa
wish the people freedom from corruption & bad governance. #africa
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering
kuwepo kwa subpleural kwa wingi, njia mbovu na uimarishaji hukua ugonjwa ukiendelea kua.
subpleural dominance, crazy paving and consolidation develop as the disease evolves.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ingawa siungi mkono vitendo vya mauaji na sera mbovu za baba jammeh, ninaunga mkono kujitoa kwake kutoka jumuiya ya madola.
although i don't subscribe to the summary executions and despotic policies of baba jammeh, i support his withdrawal from the commonwealth.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
augustine s, mkameruni anayeishi kanada anaonekana kuridhishwa na hotuba hiyo iliyokemea ufisadi moja kwa moja pamoja na utawala mbovu lakini anataka zaidi:
augustine s, a cameroonian based in canada seems pleased with the speech's direct attack on corruption and bad governance but wants more:
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
ni aibu kuwa leo bado nchi za afrika zinawalaumu mabwana zao wakoloni wa zamani kwa uchumi uliozorota ambao kwa hakika kabisa kunasababishwa na ufisadi, udhibiti mbovu wa raslimali na kukosa uwezo.
it is pathetic that african countries still blame their former colonial masters today for their economic failures clearly caused by corruption, mismanagement and sheer incompetence
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kuna ababu nyingi za maandamano hayo: umaskini uliokithiri, utawala mbovu na kubanwa kwa uhuru wa kujieleza yakiwa ni moja wapo ya malalamiko ya asasi za kiraia nchini humo.
there are multiple causes for the protests: endemic poverty, mediocre governance and restricted free speech are among the main grievances from nigerien civil society.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
unapaswa kufahamu kuwa, sikuandika makala hizo za habari zilizotajwa hapo juu, mimi sio miongoni mwa kundi linalojadili katiba mpya na sipo hapa kwa nia ya kuhalalisha ikiwa katiba mpya ni nzuri, mbaya au ni mbovu.
you have to know that i did not write those news articles mentioned above, iam not part of the group that put together of the new constitution and i am not here to justify whether the new constitution is good, bad or ugly.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kuwepo kwa subpleural kwa wingi, njia mbovu (unene unaohusiana na lobular na mjazo tofauti wa alveolasi), na uunganishaji unaweza kuonekana ugonjwa unavyoendelea.
subpleural dominance, crazy paving (lobular septal thickening with variable alveolar filling), and consolidation may appear as the disease progresses.
Senast uppdaterad: 2020-08-25
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
maisha ni mafupi sana kwa mtu kuhangaika, kwa hiyo tunajikabidhi kwa miungo, kwa kweli ni kutegemea, au kulowea kwenye tabia za mapenzi, tabia mbovu, madawa ya kulevya, au pombe.
life is too much for one person to confront, so we submit to the gods, rely on a country, or become addicted to love affairs, two-dimensional characters, nicotine, or alcohol.
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
kikundi hicho cha kiislam cha hefazot kilitangaza madai yao 13 wakati walipoandamana mnamo tarehe 6 aprili, 2013 huko dhaka, maandamano yaliyokuwa yanashinikiza adhabu kali kwa vitendo vya kukashifu dini, kuifanya elimu ya dini ya kiislam kuwa ya lazima kwa kila mtu, na kusitishwa kwa “vitendo vyote vya utamaduni usiokubalika kama vile kujipamba kupita kiasi, kuvaa kikahaba, tabia mbovu, utamaduni wa kuchangamana kwa jinsia, kuwasha mishumaa kwa kisingizio cha uhuru binafsi wa mtu na uhuru wa kuongea."
hefazot islam introduced their 13-point demand during the march on april 6, 2013 in dhaka, which would enforce capital punishment for blasphemy, make islamic education compulsory, and see the the end of "all alien cultural practices like immodesty, lewdness, misconduct, culture of free mixing of the sexes, candle lighting in the name of personal freedom and free speech."
Senast uppdaterad: 2016-02-24
Användningsfrekvens: 1
Kvalitet:
Referens:
Varning: Innehåller osynlig HTML-formatering